KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

Dkk '90+ 3
zinaongezwa dakika 3 hapa kukamilisha mchezo.
 
Boniface Maganga na benchi la ufundi ndiyo wameinyima ushindi KMC
 
FULL TIME
KMC 1-2 AS KIGALI
Vijana wa kinondoni KMC wameaga mashindano kwa kipigo wakiwa nyumbani Dar es salaam
Asante
 
Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
Sawa Mzee Kilomoni tumekusikia.
 
Tatizo KMC ni wanaume wa kinondoni
soka_app-20190823-0001.jpeg
 
Huyu beki namba 2 Boniface Maganga bure kabisa,,,beki unapata nafasi ya kupiga cross zaidi ya saba na zote unapaisha nje.
 
Kama Kuwabeba Tuliwabeba Mkapata Nafac Ya Kushiriki! Sasa Mjibebe Wenyewe! Au Kisichoridhiki Hakiliki? Mbona Wakubebwa Wote Gongong'waje Na Kmc Mnaharibu Nyumbani? Kmc Komaeni Mlianza Vizur Ugenin Mnataka Kumaliza Vibaya Nyumban
Na Mikia fc anza kutia maji, jiandaeni kisaikolojia, msichokiamini kinakuja kutokea.
 
Dakika ya 38 kipindi cha kwanza.

Kmc 0 - 1 AS Kigali

Mpira unaendelea goli limefungwa dakika ya 29 na Rashid Karisa.

Timu ya KMC wanapoteza sana nafasi.. Washambuliaji wa KMC Msuva, Kabunda na Aiyee wanapaswa kuongeza umakini zaidi.

Inawalazimu KMC kushinda mchezo huu sababu mchezo wa round ya kwanza kule Rwanda walitoka suluhu ya bila kufungana (0-0).

Agg- (0-1)

Full time

KMC 1-2 as Kigali.. KMC wanatolewa kwenye mashindano hatua ya awali kabisa baada ya kupoteza mchezo wa marudiano hapa nyumbani Tanzania na safari yao inaishia hapo.

Goli la KMC limefungwa na nahodha Yusuf Ndikumana kwa penati dakika ya 88.

kmc mjipange sio mbaya sana kwani ni mara ya kwanza kushiriki mashindano haya makubwa ya CAF.

Kama mna nia ya kufanya vizuri miaka ijayo basi msichoke kuboresha timu yenu.

Shukrani

Hofu yangu ni matokeo kama haya kuwapata Simba Jumapili.....We are Simba...sisi ndio mabingwa miaka 10 mfululizo...back to bak...
 
Kmc ya nderagijeee na hii ya mayanja ni tofauti kabisa.
Coach angekuwa nderagije wangepita,
Angefanya sub ya maana
Kweli.. hawa KMC wanamaingizo mapya ya wachezaji hadi kocha ni mpya.
Wamecheza hawajatulia kabisa,
 
Back
Top Bottom