KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

KMC 1 Vs 2 AS Kigali; KMC yaondolewa mashindano ya CAF

Huyu beki namba 2 Boniface Maganga bure kabisa,,,beki unapata nafasi ya kupiga cross zaidi ya saba na zote unapaisha nje.
Nafikiri wangevuka hii 1st round wangemtumia Bukungu ila ndio hivyo tena.
 
Back
Top Bottom