KMC STUDIOZ: Tunatafuta Wateja Serious wa Kazi za Design (Graphic & Motion) π¨
Habari wanajamii,
Sisi ni
KMC Studioz, studio ya ubunifu iliyopo Dar es Salaam. Tunatafuta wateja walio serious, wenye biashara, taasisi au miradi inayohitaji design za kiwango cha juu, tufanye nao kazi kwa muda mrefu.
Huduma tunazotoa:
- Logo na Branding (utambulisho kamili wa biashara)
- Posters na Social Media Designs
- Motion Graphics na Animation
- Video Editing (matangazo, promo, content za mitandaoni)
- Brochures, Flyers, Business Cards na Company Profiles
- Packaging na Label Designs
Kwa nini KMC Studioz?
- Uzoefu wa zaidi ya miaka 4 kufanya kazi na kampuni mbalimbali
- Kazi safi, za kisasa na zinazowasilishwa kwa wakati
- Mawasiliano ya wazi tangu mwanzo hadi mwisho wa kazi
Tunatafuta wateja ambao:
- Wana malengo yaliyo wazi ya kazi wanayoitaka
- Wako tayari kulipia kazi bora
- Wanathamini muda na weledi
Wasiliana nasi:
π+255621550302
π§
kmcstudioz581@gmail.com
π Dar es Salaam, Tanzania
Karibuni tujenge brand yako pamoja. Tuma ujumbe wa PM au tupigie moja kwa moja.