KMKM MABINGWA LIGI KUU VISIWANI ZANZIBAR

KMKM MABINGWA LIGI KUU VISIWANI ZANZIBAR

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
- Shirikisho La Soka Visiwani Zanzibar "ZFA", Limetangaza wanaowania tuzo katika Vipengele Mbalimbali Baada ya Ligi hiyo kufikia mwisho kwa Klabu ya KMKM kuwa Mabingwa kwa msimu huu; Vipengele vya tuzo hizo ni ifuayavyo.
:
[emoji117] TUZO ZA MSIMU LIGI KUU ZANZIBAR.
.
WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA [emoji471]:
Omar Hassan Omi (KVZ)
Haruna Jabir ‘Boban’ (Zimamoto)
Ishaka Said Babui ‘Isco’ (KMKM)
Abdulswammad Kassim (Malindi)
Mohammed Modi (Malindi)
Muhamadi Foum (Jang'ombe Boys)
Hamad Mshamatta (Chuoni)
.
WANAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWAKA KIJANA [emoji471]:
Nassir Ramadhan Kassim (KVZ)
Yussuf Omar Mussa (Jang'ombe Boys)
Ibrahim Ali Juma Chafu (Mlandege)
Nassor Azzan (Malindi)
.
WANAOWANIA TUZO YA MLINDA LANGO BORA WA MWAKA [emoji471]:
Vuai Makame Jecha (KMKM)
Mohammed Ali Suleiman Salula (Malindi)
Hadji Juma Ali Chafu (JKU)
Bashir Muslim ‘Iker’ (KVZ)
.
WANAOWANIA TUZO YA KOCHA BORA WA MWAKA [emoji471]:
Ame Msimu (KMKM)
Sheha Khamis Captain Sheha (KVZ)
.
WANAOWANIA TUZO YA MENEJA BORA WA TIMU WA MWAKA[emoji471]:
Nassir Kheir (Malindi)
Abdulrahman Ali Mohammed (JKU)
Abdallah Ali Suleiman Mdudu (Mlandege)
.
WANAOWANIA TUZO YA DAKTARI BORA WA TIMU WA MWAKA [emoji471].
Massoud Mattar Mohammed (JKU)
Rahma Abdallah Munir (Malindi)
.
TUZO YA MCHEZAJI BORA MWENYE NIDHAMU: HANA MPINZANI [emoji471]:
Mohammed Seif Bello (Police):
:
[emoji1600] @soka_app
IMG_20190503_123308_511.jpeg
 
Back
Top Bottom