Hatimaye, Kenya National Examinations Council (KNEC) imezindua online portal itakayowezesha former candidates kudownload KCSE na KCPE certificates zao kwa njia ya kidijitali, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa nyaraka muhimu za elimu.
Kwa miaka mingi, maelfu ya wanafunzi walikosa kupata certificates zao kutokana na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa pesa za nauli, gharama za kusafiri, umbali wa shule walizosoma au ofisi za KNEC, pamoja na hali ngumu ya kiuchumi. Wengine walihama maeneo waliyosomea, huku baadhi wakishindwa kufuatilia vyeti vyao kwa miaka mingi kutokana na sababu hizo.
Kupitia portal hiyo mpya, candidates wataweza ku-access na kudownload certificates zao baada ya kukamilisha mchakato wa verification, jambo litakalookoa muda, gharama na usumbufu wa safari zisizo za lazima.
Huduma hii inatarajiwa kuwafaidi maelfu ya Wakenya wanaohitaji certificates zao kwa ajili ya job applications, college and university admissions, scholarships, pamoja na fursa nyingine zinazohitaji uthibitisho wa elimu.