KNH wafaulu kuunganisha mkono uliokua umekatwa

Sisi huku Tz tunaendeleza kunyofoa viungo vya wasio n a hatia
 
Sisi huku Tz tunaendeleza kunyofoa viungo vya wasio n a hatia
Sasa kwenye mochwari huwa inakuwaje? Mkishagundua kiungo flani hakipo? Huwa ndo mnachapwa pekshen au vipi mkuu?πŸ˜€ Nataka kujua tu! πŸ˜€πŸ˜€
 
Kama watafanikiwa kuunga na nerve systerm ikafanya kazi sawa sawa basi itakuwa mara ya kwanza kuwasifu wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…