KNH wafaulu kuunganisha mkono uliokua umekatwa

KNH wafaulu kuunganisha mkono uliokua umekatwa

Madaktari wa hospitali kuu ya Kenyatta wamefaulu kuunganisha mkono uliokua umekatwa, walikua wameuhifadhi kwenye barafu kwa masaa kumi. Upasuaji huo wa utaalam wa hali ya juu uliwachukua masaa saba.
-----------------------------------------------

thumb_dsnox8m2gvyvudatq235a7c1de14f2ff.jpg


Doctors at Kenyatta National Hospital (KNH) have successfully reattached the severed hand of 17-year-old Joseph Thairu from Kiambaa, Kiambu County. Thairu's arm was accidentally cut off while cleaning a chaff cutter. He had just finished feeding their cows.
Read more at: KNH doctors reattach teenager's hand that was stored in cool box for 10 hours
Sisi huku Tz tunaendeleza kunyofoa viungo vya wasio n a hatia
 
Sisi huku Tz tunaendeleza kunyofoa viungo vya wasio n a hatia
Sasa kwenye mochwari huwa inakuwaje? Mkishagundua kiungo flani hakipo? Huwa ndo mnachapwa pekshen au vipi mkuu?😀 Nataka kujua tu! 😀😀
 
Kama watafanikiwa kuunga na nerve systerm ikafanya kazi sawa sawa basi itakuwa mara ya kwanza kuwasifu wakenya
 
Back
Top Bottom