Knock knock

Knock knock

Treezzy

Member
Joined
Mar 18, 2018
Posts
54
Reaction score
258
Hello,Mimi Ni mgenyi humu Jamii Forums naomba kukaribishwa na kufundishwa jinsi ya kutumia Jamii forums.
 
Hello,Mimi Ni mgenyi humu Jamii Forums naomba kukaribishwa na kufundishwa jinsi ya kutumia Jamii forums.

Sasa wewe Treezzy una knock mlango wangu usiku wote huu tena kwa sauti ya chini na kanga moko yako, unataka nini jamani....si ungeniambia toka pale jioni kabla ya kulala nijiandae?
 
Back
Top Bottom