Knock out ya mama: bondia wa Tanzania ameshinda.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Lakini I am not very impressed.
Raundi ya mwisho ilibidi refa apumzike nukta chache kumuuliza bondia wa Tanzania kama anataka kuendelea
 
Hakikisha kabla hujapost kitu basi mbege imeisha kichwani na mkononi huna kijiti...

Ni hayo tu!!!
 
Lakini I am not very impressed.
Raundi ya mwisho ilibidi refa apumzike nukta chache kumuuliza bondia wa Tanzania kama anataka kuendelea
Hivi kimebaki nini kipi kupewa jina lake
 
Ila na huyo mama yenu ,mnaboa sana.mtu ashinde na kapigwa vitasa huko mnasema"ya mama".
 
Back
Top Bottom