Know how,,,is not matted,,,,,,,but know who,,is matted,,,mikopo.

Know how,,,is not matted,,,,,,,but know who,,is matted,,,mikopo.

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Vija tukumbuke kwamba,nchi hii inatawaliwa na dhana ya kujuana sana,,,ila kama umekosa mkopo usikate tamaa,,,cha msingi ni kujua tatizo la nchi yetu liko wap?na tunatatu vip?lanzima tujitaidi kwa namna yeyote,,kuhakikisha kwamba hali ya kujuana inakomeshwa ndani ya nchi yetu,,,na sio kulalamika,wakati una elimu ya kidato cha sita,,,,,nenda vijijini waeleze wananchi wajue ubovu wa serikali hii,,na hicho chama,,,maneno mengi pasipo utekelezaji,,,sasa kila mtu anaweza kuleta usawa katika nchi hii,,play you part,,,,,,it can be possible,,,,,,dhambi mbaya ni kuona mtu mwenye elimu ya kidato cha sita anakata tamaaa,,,au kujiua,,,,wakati kuna altenative kibao za maisha,,,,,alafu alieandikiwa did not secured,,,means not yet fixed,,,,bado kuna majina yataendelea kutoka,,,,vuta subira.
 
bora ww maana kuna miji2 humu inajifanya michz yan kupata mkopo ndo keshaanza kujitapa kwa wengne..ts grit sin nawasilisha
 
bora ww maana kuna miji2 humu inajifanya michz yan kupata mkopo ndo keshaanza kujitapa kwa wengne..ts grit sin nawasilisha

kwa watoto wa kulima,,kupata ni bahati,,,lakini ebu tafuta mtoto yeyote wa kigogo,,alafu amekosa mkopo,,ngumu sana,,,hii nchi noma,,,,lakini ipo siku kitaeleweka tu,,,kijana mwenzangu altenativu za maisha ziko nyingi,,,usisahau kutumia elimu yako.
 
Yaani hawa ndugu siwaelewi hata kidogo nimesoma shule ya kata,sina mzazi hata mmoja na anayenisomesha ni mkulima na nachukua bachorol of education in science with biology,na vigezo vyote niliwasilisha lakini sijapata mkopo kabisa yaan sijui nimewakosea nin hawa ndugu
 
Pole sana ndugu,bt it is something amazing
 
Back
Top Bottom