Vija tukumbuke kwamba,nchi hii inatawaliwa na dhana ya kujuana sana,,,ila kama umekosa mkopo usikate tamaa,,,cha msingi ni kujua tatizo la nchi yetu liko wap?na tunatatu vip?lanzima tujitaidi kwa namna yeyote,,kuhakikisha kwamba hali ya kujuana inakomeshwa ndani ya nchi yetu,,,na sio kulalamika,wakati una elimu ya kidato cha sita,,,,,nenda vijijini waeleze wananchi wajue ubovu wa serikali hii,,na hicho chama,,,maneno mengi pasipo utekelezaji,,,sasa kila mtu anaweza kuleta usawa katika nchi hii,,play you part,,,,,,it can be possible,,,,,,dhambi mbaya ni kuona mtu mwenye elimu ya kidato cha sita anakata tamaaa,,,au kujiua,,,,wakati kuna altenative kibao za maisha,,,,,alafu alieandikiwa did not secured,,,means not yet fixed,,,,bado kuna majina yataendelea kutoka,,,,vuta subira.