Know the greatest dictators of africa......all times best

Know the greatest dictators of africa......all times best

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191
Many outsiders love to thing that Africa as a Continent did not contribute much in world development, maybe we dont agree with that.

However, Africa had a great contribution of DICTATORS, WE WERE NOT LEFT BEHIND WHEN IT CAME TO DICTATORSHIP. so Africa had its fair share for dictators who came in and out usually started immediately after Independence

We had very colourful dictators, some of them killing their people in tons, some of them making themselves presidents for lives, some oft hem introduces elections but with one man candidate, some of them taking entire country economy into their names and some taking all economy helping their religious groups

But almost all of them had something in common, banned political parties and gave many speeches as if they had factories at their back yard for manufacturing words and empty promises

These dictators are almost forgotten today, because we African are forgetful and easy going.

Here are few of them

View attachment 99965View attachment 99965
Huyu ni Macias Nguema [FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]alitawala kuanzia 1968 huko [/FONT]Equatoria Guinea, wengi wanamwita huyu kwa jina la utani la POL POT wa Africa kwasababu mauwaji yake ni sawa na Iddi Amin Plus Bokkasa combined. Kama madikteta wanapewa madali basi Macias Nguema angepata Nobel Prize

View attachment 99966 View attachment 99967
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]Huyu ni Jean-Bedel Bokassa. Alikuwa ni raisi wa maisha na self claimed Emperor wa Central Africa Republic. Kuanzia 1966 hadi 1979. Huyu naye alivinja redoko ya mauwaji huko
[/FONT]
View attachment 99969 amini.jpg amini 2.jpg

Huyu Ni Field Marshal Iddi Amin Dada, alichukuwa madara kutoka kwa Milton Obote 1971 hadi 1979
Na yeye alistahiki sifa mbaya za udikteta. Kitendo kikubwa kilowakera zangu ni kutaka abebwe na wazungu kama wao walivokuwa wakibebwa na waafrika hapo Uganda, pamoja ana mkasa wa Entebe airport 1976

View attachment 99970 View attachment 99971

Huyu ni Dr. Hasting Kamuzu Banda, wa mawali, na yeye akawafanya wamalawi wote wajinga na kujitangaza kuwa raisi wa maisha huko.

View attachment 99974 View attachment 99975

Huyu ni Dikteta Mabutu Sese Seko, na yeye alikuwa ni dikteta wa kupigiwa mfano huko Zaire. Alitawala 1965 hadi 1997. Mali ya Zaire yote ilikuwa kwa jina lake, na yeye akawafanya wazaire wajinga lakini wazungu walimpenda hususan Wabelgium na USA. Belgium tunajua kwa sababu gani, soko kubwa la Diamond duniani lipo Antwerp Belgium, huko ndiko kunakowekwa bei za alsmasi na kila almsi inayochimuliwa diniani na kuingia katika world market ni lazima ipite katika mikono ya wayahudi wanaoendesha biashara hiyo hapo na ndio maana USA wakampenda Mabutu.

View attachment 99976 View attachment 99977

Huyu ni Dikteta, General Yakubu Gowon. Musibabaishwe na jina alikuwa ni yeye ni Catholic (huu si udini lakini nikwa information zaidi tu). Huyu ndie aliendesha infamous war kule Biafra. Alikuwa ni dikteta wa aina yake 1966 hadi 1975

AD 2.jpg mugabe.jpg

Huyu ni Dikteta Robert Mugabe, hamu yake ni kwamba afe madarakani. Ni Raisi wa Maisha ya Zimbabwe ingawaje anafanya elections za mchezo wa kuigiza huko. 1975 to date

nyerere karume.jpg nyerere.jpg nyeye.jpg

Huyu ni Julius Kambarage Nyerere, alikuwa dikteta wa Tanzaia. 1961 hadi alipojiuzulu 1985. Alikuwa ni raisi wa kudumu wa Tanznaia, ingawaje akiendesha elections lakini za one man show. Hakuwa mwizi wala hakuishi maisha ya fakhari isipokuwa pesa za nchi alizipeleka VATICAN. Mchango wa Tanzania kwa kanisa Roman Catholic hautajwi lakini ulikuwa nimkubwa sana. Mchango huo uliendelea hadi majuzi tu alipokuja Kiketwe madarakani, aliposema na dini nyengine wapewe pesa za serikali. lakini mali aloikusanya Nyerere katika wizi wa azimio la arusha nyingi zaidi iliishia vatican
Kama Mabutu, wazungu walimpenda kwa sababu wanazizijuwa wao.

mengistu1.JPG mangestu.jpg

Huyu ni Mangestu Haile mariam, wa ethiopia na yeye hakuwa nyuma katika kuendeleza udikteta barani afrika. alichukuwa madaraka 1974 hadi 1987.aliingiza ethiopia katika ukomunist na kuwapa shida sana raia zake.

toure 2.jpg Toure.jpg

Huyu ni Dikteta Ahmed Sokou Toure wa Guinea ametawala kuanizia 1958 hadi 1984. Alikua ni raisi wa maisha wa Guinea na kama kawaida ya viongozi wa kiafrika waliopewa madaraka baada ya uhuru, aliwafanya raia zake wajinga kumpa yeye uraisi. Na yeye kama nyerere alikuwa akifanya elections lakini mgombea ni yeye tu, na alivifunga vyama vyote vya siasa nchini kwake. na yeye alikuwa hodari sana wa kutowa hotuba kwa raia.
 
Attachments

  • Gambia.jpg
    Gambia.jpg
    9.5 KB · Views: 303
  • gambia 2.jpg
    gambia 2.jpg
    7.3 KB · Views: 302
Umenichefua sana na hilo la kusema Nyerere alichangia Vatican eti Kikwete kazuia.
Acha kuleta mambo ya kwenye bao hapa jamvini.

Huo mchango Vatican alikuwa akiupeleka vipi unaweza kutupa namna fedha ilivyokuwa ikitolewa Benki kupelekwa Vatican??

Au ni mambo yale yale .. ukishindwa kuunganisha doti unajaza Vatican.

Kikwete sasa hivi naye anapeleka wapi?

Oman????

Hicho kiswahili cha dini nyengine, dini nyengine, dini nyengine cha wapi vile??
 
akili za ma.ta.ko hizi

Nimeipenda post yako.Uyu jamaa anafikiri kwa kutumia masaburi.Vatican ni tajiri kuliko Tz iweje tuwasaidie kama ni kweli wazee wa vipedo tungeshayackia cku nyingiii.kumwita dikteta Nyerere labda ujui nini maana ya dikteta kwani dikteta wa ukweli Tanzania ni Amani karume aliyewaua wapemba kisa wana asili ya kiarabu na ushahidi upo!
 
hii ndio raha ya demokrasia ukweli na uwazi, wewe unahaki ya kusema utakavo, hata ikiwa ni kujifurahisha mwenyewe.

lakini ukiwa unadhani haya niondika hapa ni porojo si uulize wanaojuwa wengine huko, i know wapo ambao hawatoon ataabu kusema ukweli
 
Leo kweli nimeamini_asiye na elimu dunia sio mwenzako,......i.e haya ni matokeo ya ilmu akhera.....a.k.a vyuo vya madrasa
 
hii ndio raha ya demokrasia ukweli na uwazi, wewe unahaki ya kusema utakavo, hata ikiwa ni kujifurahisha mwenyewe.

lakini ukiwa unadhani haya niondika hapa ni porojo si uulize wanaojuwa wengine huko, i know wapo ambao hawatoon ataabu kusema ukweli

Ni wenye elimu za ki_sheikh tu ndio wanaweza kuwa na fikra za hovyo kama hizi,.............poor saudia/arabu education.
 
Dikteta mkubwa ni Nyerere aliua wapigania uhuru wa Tanganyika.
 
KJ kuanzia 2015 hadi 2005 nchini ZT na hapendi vyama vingine vya siasa vipendwe na watu na pia huteua viongoz kirafiki na kupenda kucheka cheka kinafiki
 
Nimeipenda post yako.Uyu jamaa anafikiri kwa kutumia masaburi.Vatican ni tajiri kuliko Tz iweje tuwasaidie kama ni kweli wazee wa vipedo tungeshayackia cku nyingiii.kumwita dikteta Nyerere labda ujui nini maana ya dikteta kwani dikteta wa ukweli Tanzania ni Amani karume aliyewaua wapemba kisa wana asili ya kiarabu na ushahidi upo!

sawa mzee kwani mangapi yanazungumzwa hadharani tz, wangapi wanajuwa almasi yatz inapelekwa wapi na kwa faida ya nani? uanze kujiuliza suala hilo from 1970s hadi leo

Ni nani anayejuwa kwamba tanganyik ainazalisha magogo na yanasafirishwa nje, maingizo yake ni ma milini ya dola, watangayika wangapi wanajuwa kuhusu hilo

Nyerere kuwa dikteta unahisi ajabu yaani wewe anujuwa dikteta ni yule anauyeuwa tu, lakini nyerere aliiendesha nchi kwa amri zake tu, alijoribu kumpiga aloptea, alojaribu kuuliza alijamazishwa, aliwaingai watu ukomunist na kuwafanya watz kasikini hadi leo, rais hakuwa mwengine isipokuwa yeye tu 1961 hadi 1985....ikiwa haya hayatoshi kiongozi kuwa dikteta nilipi tena???

Nitajie mmoja tu alothubu kumpinga nyerere akawa madarakani?

Amani karume hakumuuwa Mpemba hata mmoja, suala la ubaguzi wa wakabila zanizbar ni matunda ya nyerere na agenda zake za divide and rule

Ninashangaa sana kuona watu wanadanganywa na kukubali kirahisi. Karume ni kiongozi pekee aliwanusu waarabu ndani ya mapinduzi ya 1964, hii ni kuonesha dhahiri kwamba yeye sie aliuwa waarabu bali ni WATANGANYIKA walioletwa. katika watu alotaka kuwapa uwaziri moja ni Al Kharusi, mwarabu ambae alikuwa ndani huko chini ya hifadhi ya Karume, ikiwa umesikia kuna waarbu waliwekwa ndani na karume, madhumuni ilikuwa ni kuwanusuru maisha yao...okelo na watanganyika wangewauwa kama wangekuwa nje.
 
[/COLOR]

Ni wenye elimu za ki_sheikh tu ndio wanaweza kuwa na fikra za hovyo kama hizi,.............poor saudia/arabu education.

sawa mkuu

bora elimu za mabenchini na nyimbo zake
 
KJ kuanzia 2015 hadi 2005 nchini ZT na hapendi vyama vingine vya siasa vipendwe na watu na pia huteua viongoz kirafiki na kupenda kucheka cheka kinafiki

Inakufaa uwache jazba za kidini hizo, nyinyi watanganyik amutaendelea lini?????????//
 
ungesema Vatican ndo iliisaidia Tanzania ungeeleweka. Ila kwa kuwa ilmu ahera siku zote inaenda kinyume na elimu dunia lazma uwaze hivyo. Hivi kwanini huwa mnakosa usingizi kwa sababu ya ukatoliki? Is it a powerful religion? and it will always be,...nothing you can do... -
 
Uwazi hauna maana kutembea uchi, niluze wanao jua?? kumbe hatas wewe umekuja hapa kwa kuambiwa na so called wanao jua??
Watu mtaendelea kutumika kwa faida ya majuha mpka lini.
Haya niambie tangu 1964 ni Tshs ngapi zimepelekwa huko VATICAN??

NA hizo dini nyengine sasa hivi zinapata Tshs ngapi kwa mwaka?

Usihesabie zile fedhaza mavi za kwenye majunia wanazotembea nazo Kikwete Salma na Riz kugawia watu kama njugu

hii ndio raha ya demokrasia ukweli na uwazi, wewe unahaki ya kusema utakavo, hata ikiwa ni kujifurahisha mwenyewe.

lakini ukiwa unadhani haya niondika hapa ni porojo si uulize wanaojuwa wengine huko, i know wapo ambao hawatoon ataabu kusema ukweli
 
annabrenda

ungesema Vatican ndo iliisaidia Tanzania ungeeleweka. Ila kwa kuwa ilmu ahera siku zote inaenda kinyume na elimu dunia lazma uwaze hivyo. Hivi kwanini huwa mnakosa usingizi kwa sababu ya ukatoliki? Is it a powerful religion? and it will always be,...nothing you can do... -

Vatican iisaidie tanzania kitu gani zaidi ya msaada wa imani. labda na wewe ni mroma hapo.

ikiwa hujui kuna kitu kinaitwa mchango kwa kanisa mama, si tz tu inayotowa mchango huko nchi zote za kikatoliki, ulaya south america an asia mfano philipes

sinashaka unajua kwamba VATICAN ni systen ya kidini ambayo inagharibu sana, kwanza wana balozi katika nchi teleee,gharama zake zinatolewa na nchi za kikatoliki.

wahudumu waliopo pale vatican akina papa na wenzake wanaishi super size life gharama zake zinalipiwa na nchi za kikatoliki

kwasababu gani gharama zote hizo zilipiwena nchi katoliki, kwasababu vatican ni jumuiya ya kidini haina biashara zaidi ya kusambaza imani tu

sasa ikiwa huamini kwamba tz ni nchi ya kikatoliki nitakuomba usome vitabu vya kadinali pengo

nadhani umeelewa
 
Madela Wa-Madilu

soma risala yangu kwa annabrenda zipo jawabu zitakusaidia humo
 
Kwangu list haijakamilika kabisa bila kuwepo
-General Paul Kagame - Rwanda president amabe maauaji yake watu wanayalinganisha na yale ya Hitler na Musolini
-Yoweri Kaguta Mseveni - maana nae ameua na anaendelea kuua watu wengu Uganda kuliko hata huyo Idd Amin kwa taarifa yako
 
mkuu thread yako itafungwa sasa hivi kutokana na ukweli ulio andika
 
Back
Top Bottom