Know the greatest dictators of africa......all times best

Know the greatest dictators of africa......all times best

njiwa

mkuu thread yako itafungwa sasa hivi kutokana na ukweli ulio andika

tunajuwa kwamba humu wapo watu wa uslaam wa taifa na wa ikulu

waache tu sijui mpaka lini watakuwa wanaukwepa ukweli?
 
bornagain

Kwangu list haijakamilika kabisa bila kuwepo
-General Paul Kagame - Rwanda president amabe maauaji yake watu wanayalinganisha na yale ya Hitler na Musolini
-Yoweri Kaguta Mseveni - maana nae ameua na anaendelea kuua watu wengu Uganda kuliko hata huyo Idd Amin kwa taarifa yako

list ya kwanza ilikuwa ya madikteta wa zamani

list ya madikteta wa sikuhizi ipo, afrika imezongwa na madikteta kila kipembe
 
HUYU Bin Faza lazima atakuwa na undugu na Ritz

Unawashwa wewe naona unanataka tuanze kuchafuna humu jamvini naona unataka kuleta habari zako za kishoga.
profilepic10885_1.gif
 
Unawashwa wewe naona unanataka tuanze kuchafuna humu jamvini naona unataka kuleta habari zako za kishoga. Ushoga sio big deal,unafikiri kwanini Obama anakuja Tanzania????? its just a matter of time
 
Hili ni tatizo la dini zinazoruhusu kuzusha na kudanganya...

Kumweka Nyerere kwenye kundi hilo ni uzushi tu wa kujiridhisha nafsi yako. Au unafikiri unapata thawabu?
 
Ndio maana mie sitaki hata kuhusikia huu muungano maana umetuletea species za ajabu sana.haya masalia(shombeshombe) ya waarab yatatuvurugia nchi yetu tusipovunja huu muungano wa ovyo kabisa duniani.
 
By SERGIO<br />
Pambaf sana wewe.
<br />
<br />
sawa mmsai sema tu wewe, jukwaa lako
Yani wazanzibar bwana,mngejua tusivyowataka hata usingesumbuka hivyo. Tanganyika inawazuga tu kuchelewa kuwapa uhuru wenu ila itawapa. Inajaribu kuondoa lawama siku moja msijeilaumu kwa kusema 'mbona tulipotaka kujitenga hamkutupigania tubaki'? Tushawachoka na vilio vyenu... Otherwise ukiniuliza mimi ntakwambia kisiwa cha ukerewe au mafia vina manufaa zaidi kuliko visiwa vya.... Maliziaaaa
 
huko kwingine kote ume-beat around the bush,but ur main attention is centered on discussing nyerere & the catholic church of tz.udini na chuki kwa nyerere.period.
 
Many outsiders love to thing that Africa as a Continent did not contribute much in world development, maybe we dont agree with that.

However, Africa had a great contribution of DICTATORS, WE WERE NOT LEFT BEHIND WHEN IT CAME TO DICTATORSHIP. so Africa had its fair share for dictators who came in and out usually started immediately after Independence

We had very colourful dictators, some of them killing their people in tons, some of them making themselves presidents for lives, some oft hem introduces elections but with one man candidate, some of them taking entire country economy into their names and some taking all economy helping their religious groups

But almost all of them had something in common, banned political parties and gave many speeches as if they had factories at their back yard for manufacturing words and empty promises

These dictators are almost forgotten today, because we African are forgetful and easy going.

Here are few of them

View attachment 99965View attachment 99965
Huyu ni Macias Nguema [FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]alitawala kuanzia 1968 huko [/FONT]Equatoria Guinea, wengi wanamwita huyu kwa jina la utani la POL POT wa Africa kwasababu mauwaji yake ni sawa na Iddi Amin Plus Bokkasa combined. Kama madikteta wanapewa madali basi Macias Nguema angepata Nobel Prize

View attachment 99966 View attachment 99967
[FONT=Helvetica Neue, Helvetica, Arial, sans-serif]Huyu ni Jean-Bedel Bokassa. Alikuwa ni raisi wa maisha na self claimed Emperor wa Central Africa Republic. Kuanzia 1966 hadi 1979. Huyu naye alivinja redoko ya mauwaji huko
[/FONT]
View attachment 99969 View attachment 99989 View attachment 99990

Huyu Ni Field Marshal Iddi Amin Dada, alichukuwa madara kutoka kwa Milton Obote 1971 hadi 1979
Na yeye alistahiki sifa mbaya za udikteta. Kitendo kikubwa kilowakera zangu ni kutaka abebwe na wazungu kama wao walivokuwa wakibebwa na waafrika hapo Uganda, pamoja ana mkasa wa Entebe airport 1976

View attachment 99970 View attachment 99971

Huyu ni Dr. Hasting Kamuzu Banda, wa mawali, na yeye akawafanya wamalawi wote wajinga na kujitangaza kuwa raisi wa maisha huko.

View attachment 99974 View attachment 99975

Huyu ni Dikteta Mabutu Sese Seko, na yeye alikuwa ni dikteta wa kupigiwa mfano huko Zaire. Alitawala 1965 hadi 1997. Mali ya Zaire yote ilikuwa kwa jina lake, na yeye akawafanya wazaire wajinga lakini wazungu walimpenda hususan Wabelgium na USA. Belgium tunajua kwa sababu gani, soko kubwa la Diamond duniani lipo Antwerp Belgium, huko ndiko kunakowekwa bei za alsmasi na kila almsi inayochimuliwa diniani na kuingia katika world market ni lazima ipite katika mikono ya wayahudi wanaoendesha biashara hiyo hapo na ndio maana USA wakampenda Mabutu.

View attachment 99976 View attachment 99977

Huyu ni Dikteta, General Yakubu Gowon. Musibabaishwe na jina alikuwa ni yeye ni Catholic (huu si udini lakini nikwa information zaidi tu). Huyu ndie aliendesha infamous war kule Biafra. Alikuwa ni dikteta wa aina yake 1966 hadi 1975

View attachment 99978 View attachment 99979

Huyu ni Dikteta Robert Mugabe, hamu yake ni kwamba afe madarakani. Ni Raisi wa Maisha ya Zimbabwe ingawaje anafanya elections za mchezo wa kuigiza huko. 1975 to date

View attachment 99980 View attachment 99981 View attachment 99982

Huyu ni Julius Kambarage Nyerere, alikuwa dikteta wa Tanzaia. 1961 hadi alipojiuzulu 1985. Alikuwa ni raisi wa kudumu wa Tanznaia, ingawaje akiendesha elections lakini za one man show. Hakuwa mwizi wala hakuishi maisha ya fakhari isipokuwa pesa za nchi alizipeleka VATICAN. Mchango wa Tanzania kwa kanisa Roman Catholic hautajwi lakini ulikuwa nimkubwa sana. Mchango huo uliendelea hadi majuzi tu alipokuja Kiketwe madarakani, aliposema na dini nyengine wapewe pesa za serikali. lakini mali aloikusanya Nyerere katika wizi wa azimio la arusha nyingi zaidi iliishia vatican
Kama Mabutu, wazungu walimpenda kwa sababu wanazizijuwa wao.

View attachment 99985 View attachment 99986

Huyu ni Mangestu Haile mariam, wa ethiopia na yeye hakuwa nyuma katika kuendeleza udikteta barani afrika. alichukuwa madaraka 1974 hadi 1987.aliingiza ethiopia katika ukomunist na kuwapa shida sana raia zake.

View attachment 99987 View attachment 99988

Huyu ni Dikteta Ahmed Sokou Toure wa Guinea ametawala kuanizia 1958 hadi 1984. Alikua ni raisi wa maisha wa Guinea na kama kawaida ya viongozi wa kiafrika waliopewa madaraka baada ya uhuru, aliwafanya raia zake wajinga kumpa yeye uraisi. Na yeye kama nyerere alikuwa akifanya elections lakini mgombea ni yeye tu, na alivifunga vyama vyote vya siasa nchini kwake. na yeye alikuwa hodari sana wa kutowa hotuba kwa raia.

Bin Faza Sorry for what I am to say "You are so S T U P I D for calling Mwl Julius Kambarage Nyerere a Dictator. We honor him a lot he never deserved that name. May be your father was a dictator that is why you did not get maternal care to grow like any other children to honor the President like Julius Nyerere.
 
Bubu Msemaovyo


Bin Faza Sorry for what I am to say "You are so S T U P I D for calling Mwl Julius Kambarage Nyerere a Dictator. We honor him a lot he never deserved that name. May be your father was a dictator that is why you did not get maternal care to grow like any other children to honor the President like Julius Nyerere.

U dont need to be sorry, and i agree with u that i am stupid, cos, i am very impressed by ur way of thinking and the way u analyze things for that i think u are a GENIUS............God bless u

but i reserve my opinion regardless of what u think or might call me,
 
what makes a DICTATOR?? what might be the end results?? it has to be killings of innocent people??
Talking of Nyerere yes he was dictator with his authoritarian rule and style with the idea of fulfilling his best vision of avoiding more chaos to came due to long history of tribal issues. Authoritarian/dictatorship might bring good results in a country as we see the outcome of Tanzania to date; though the idea of believing and concentrating on poverty that all citizen should be poor was not compatible and will not be the best.
 
what makes a DICTATOR?? what might be the end results?? it has to be killings of innocent people??
Talking of Nyerere yes he was dictator with his authoritarian rule and style with the idea of fulfilling his best vision of avoiding more chaos to came due to long history of tribal issues. Authoritarian/dictatorship might bring good results in a country as we see the outcome of Tanzania to date; though the idea of believing and concentrating on poverty that all citizen should be poor was not compatible and will not be the best.

si kil adikteta anauwa raia zake, wengine wanajifany amaraisi wa kudumu kama vile nyerere, ijapokuwa alikuwa akiitisha elections lakini za one man show

hakuna tz alothubutu kupinga fikra za nyerere alopinga alikwenda, ikiwa hili hujui uliza

nyerere alitufanya sote ,askini kwa siasa zake za kikomunist yeye akisema ni za kijamaa, na azimio la arusha ilikuwa ni wizi wa mchana kwa mali za watu

unataka zaidi??
 
Back
Top Bottom