Know the greatest dictators of africa......all times best

The big point here is featuring Nyerere in this shameful list.can you share with us how nyerere exported our nation's wealth to vatican? This must be the greatest finding than the recent finding of gas reserves.
 
Alafu Bin Faza hizi records zako umezichukua mpaka kufikia tarehe ipi,sababu siwaoni hapa akina alhaji Ghadafi,Hussein Mubarak, Ben ally na utitiri wa ma alhaji dictators wa kinigeria.Hawa umewaacha selectively au ni oversight tu?
 
wanakuja wote hao katika duru ya pili

hakuna ubaguzi kaka, dikteta ni dikteta au vipi
 
kuna kitu unashindwa kukielewa na ukiondoa biase hilo halitakusumbua,
bin faza hakusema tanzania aliisaidia vatcan nop,ni kwamba nyerere alijitahidi kupeleka utajiri wa tanzania kule n then nchi kuwa tajiri haimaanishi haiitaji msaada hivi kwa sasa marekani haikopi hela china?!.au ukiwa tajiri basi hauongezi?!...kama ni hivyo basi marekani,china n other supet powers zcngehitaji kuja kuinvest tanzania!
cjaona wap bin faza kaudespise ukatoliki....!
 
Jamaa mleta mada atakuwa kavurugwa au anatumika yaan kuwachanganya viongoz shupavu na waliouchukia ukolon kuwa n ma dikteta aisee huyu jamaa si mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…