Knowledge inahitajika.

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
987
Reaction score
132
Hiki kitu kilinifanya niwe na shauku ya kuingia jamvini leo na kuuliza....kuna mtu kamchakachulia bro wangu modem yake ya zantel...yaani ni anatumia internet bure bila kurecharge wala nini! Anatumia profile ya @zantel.com. Mwenye knowledge ya kufanya utundu huu naomba atupe ujanja huo na sisi...
 
Pana harufu ya ufisadi hapa! Hivi ubinafsi utaisha lini?
 
tayari kaka yako anaye mtu mwambie akuunganishe nae uku unatafuta nini tena au ww ndio muhusika unataka kujua kama kunawengine wanafanya unachofanya huo ni wizi na ukikamatwa ni sawa na mafisadi wengine hapa tupokuelimishana zaidi na kama unajua unaweka hapa
 
huyo mtu lazima ni staff wa zantel tena kule jikoni. Huyo mtu hahitajiki tanzania maana ndio walewale wanaotuharibia nchi....ukitaka huduma ilipie. Tchao!
 
huyo mtu lazima ni staff wa zantel tena kule jikoni. Huyo mtu hahitajiki tanzania maana ndio walewale wanaotuharibia nchi....ukitaka huduma ilipie. Tchao!
Huyo mtu anahitajika sana TZ, wametukamua sana hao jamaa wacha tujilipe, weka maujanja hayo wenye kuwaonea huruma wataendelea kulipia.
 
kama unajua unasema c unang'aka 2! Had viongoz serikalin wanaiba ije kua kuhack modem chapikeni kule,nyie wenyewe mna2mia masoftware pirated kibao! na hyo method ikiwekwa nyie wenyewe ndo mtakua wa kwnza kujaribu!
 
Unataka Zantel wafunge virago km CUF wanavyofunga virago huku bara? Tanzania hatutaendelea wallah. Ww modem tu unataka chakachua, halafu upewe ukurugenzi wa idara nyeti huko serikali, wallah.............
 
Hakuna mwema hata mmjo hapa, hao wote wanao jitia upambanaji waongo hawajapata nafasi tu. hapa ni ufisadi kwenda mbele tu! kila mmoja fisadi kwa nafasi yake. hakuna msafi hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…