Hadi sasa hivi ni watu 9.Kobe Bryant and four others were killed
John Abruzzi John AbruzziJohn Abruzi! John Abruzi!
The G.O.A.T alifanya makubwa he was good on three points.Dah! Hii habari imenifanya nikose usingizi leo. One of the Saddest News in the history of basketball. Rest Easy Champ.
Wewe sio die hard fan wa BBall my friend if you grew up watching this immortal hakika usingeandika hayaUmelia[emoji44][emoji44]. Mimi imeniuma lakini kufika hatua ya kulia mbali mno kwa mtu ambaye sifahamiane naye wala hagusi maisha yangu
Everybody knows thatJuzi tu nilikuwa nasema Kobe alikuwa na career ndefu sana NBA, aliingia akitokea shule ya sekondari tu (kawaida wachezaji wanaingia kutoka College).
Leo katutoka.
Rest In Protons.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani, bora mke na watoto weren't on board. RIP
==
Edit:
Kobe's daughter Gianna Maria was also on board and died in the crash.
Nimekutag somewhere. Umeona?What does it mean
First of all, how do you know everybody knows that?Everybody knows that
Kifo kifo tu hata uwe na mabilion
Ndege, treni, meli utavutaaaa tu
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri huwa tunasahau maisha yanaendelea..... viumbe vinakufa katika umri wowote ule. Safari ni moja lakini tunaweza kushuka njiani.At Only 41.Hiki kifo hakika kimenipa somo.