Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
yes he said so
Simply kwa sababu muda mwingi Kobe alikuwa anautumia kwenye helcopter
Alikuwa hapendi foleni
Na kuna stunts alifanya akiwa anaruka umbali fulani kutoka kwenye helcopter
Mtabiri au aliyesema ali base kwenye hiI scenarios