Kobe Bryant dies in a plane crash

Kobe Bryant dies in a plane crash

Sijawahi kuona picha ya huyu jamaa akiwa amenuna yyte aliyenayo pls naomba....
kuna watu wamebalikiwa tabasamu..
 
Uchunguzi unaendelea. Kuna uwezekano haya kupangwa na watu flani flani hivi. RIP kobe.
 
Labda alikuwa Role Model wako kwenye issue ya kwenda chooni kujisaidia haja kubwa. Kinyume na hapo jamaa hakuwa mdini, mnyenyekuvu, mpole.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla sijakuwekea picha ya Biblia ya kiebrania, unaweza kuniambia hiyo koran yako iliandikwa mwaka gani?
.
Umesema imehifadhiwa na watu wengi sawaa, je unafahamu Biblia ni kitabu kinachosomwa na watu wengi zaidi wa makabila na races zote?
Huwezi kukalili Bibla hata siku moja huwezi, ila habarl za kumbaka aisha au kuuwa wayahudi hizo simple sana.
.
Rest easy Kobe and Gianna Maria

= kukariri


Hahahaha ha Yesu na Kihebrania wapi na wapi? Wewe hata lugha ya Yesu huifahamuṇi ipi. Pole sana.

WWewe unajuwa kusoma kihebrania au mradi ubandike kopi tu hapa? Waislam wanaisoma Qur’an kama ilivyo.

Hayo ya miaka nakuachia wewe kwani nakuona huna point yoyote unatafuta pakutokea.

Ni vyema umekiri kuwa kuwa hamna vichwa vya ku "memorize" biblia.

Na hamtoweza. Hayo tuachieni sisi tuliopewa uwezo huo.
 
Back
Top Bottom