chuma cha reli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2012
- 2,764
- 2,559
Nimelia Jamani. Imeniuma sana. Hapa ndo unasema maisha haya. Kobe alikuwa mtu poa sana.
Nishaonana na Kobe ana kwa ana. Ni very very humble man.
Mbona unamuacha Denis Roadman!Huyu ni mmoja wa kizazi kilicho fata baada ya wale nguli kina Jordan Karl malone na nduguye moses bila kumsahau sir Charles barkley hakeem olojuwon magic Johnson Larry bird Patrick ewing duh kifo tunatembea nacho
Hebu dondosha somo kule kwetu jamii intelligenceWote mliokomenti nimeona hamna uelewa juu ya kitu kiitwacho Futurology. Ndio maana mwashangaa na kuona labda jamaa Mchawi/Freemason
Kabla sijakuwekea picha ya Biblia ya kiebrania, unaweza kuniambia hiyo koran yako iliandikwa mwaka gani?
.
Umesema imehifadhiwa na watu wengi sawaa, je unafahamu Biblia ni kitabu kinachosomwa na watu wengi zaidi wa makabila na races zote?
Huwezi kukalili Bibla hata siku moja huwezi, ila habarl za kumbaka aisha au kuuwa wayahudi hizo simple sana.
.
Rest easy Kobe and Gianna Maria
Nishawahi kudondosha mbona. Ngoja nikutag