Kobe Bryant na mwanaye Gianna wazikwa

Kobe Bryant na mwanaye Gianna wazikwa

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Kama wewe ni miongoni mwa watu waliotamani kushuhudia mazishi ya mchezaji wa Basketball Marehemu Kobe Bryant na mwanaye Gigi taarifa ikufikie kuwa tayari wawili hao wameshazikwa kwa Siri siku ya Februari 7.

Taarifa iliyoripotiwa inaeleza kuwa Kobe na mwanaye Gigi wamezikwa na walioshiriki mazishi hayo ni wanafamilia pamoja na watu wa karibu sana.

Hata hivyo wamepanga February 24 mwaka huu ndiyo iwe siku mahususi kuomboleza kifo cha Kobe Bryant na Mwanae itakayofanyika Staples Center. (Wamechagua 24 Sababu ni number aliyowahi itumia Kobe Kwenye maisha yake ya kikapu).

=====
1581493551073.png

Kobe Bryant and his 13-year-old daughter Gianna have been laid to rest, according to multiple reports.

The two were buried in a private ceremony in Corona Del Mar, California, on Feb. 7, according to the reports.

Multiple publications cited the death certificates as confirming the ceremony, while Entertainment Tonight spoke with somebody in touch with Bryant’s widow Vanessa Bryant.
“Vanessa and the family wanted a private service to mourn their loss," the source told ET. “The ceremony was extremely hard for everyone as it's still hard for them to grasp they lost two beautiful souls.”
Kobe and Gianna died in a helicopter crash in Calabasas, California, on Jan. 26 alongside seven others on board the craft. They were traveling to attend a youth basketball tournament hosted at Bryant’s Mamba Sports Academy in Thousand Oaks.

An investigation into the cause of the crash is ongoing and expected to take at least another year to complete. The latest development from the probe shows that the helicopter did not suffer engine damage before it crashed into a hillside.

Public memorial scheduled for 2/24
While the private ceremony has been conducted, a public ceremony is scheduled for Feb. 24 at Staples Center, the home of the Los Angles Lakers. The date is symbolic as it pays homage to the No. 2 basketball jersey Gianna wore and the No. 24 Kobe wore in his later years as a member of the Lakers.

Vanessa promoted the public memorial on Instagram after news of the event broke.

Ceremony honors other crash victims
Angel Stadium in Anaheim, California, held a public memorial for the Altobelli family on Monday.

Orange Coast College baseball coach John Altobelli, his wife Keri Altobelli and 14-year-old daughter Alyssa Altobelli were among the victims of the crash. Alyssa was a teammate on Gianna’s basketball team.

Source: Yahoo Sports

Pia Soma:
Kobe Bryant dies in a plane crash
 
Mazishi yanatakiwa hivi ,sio kusumbua watu,

Wazungu hata huko america , maiti inazikwaga hata na watu watatu ,


Watu waendelee na shughuli nyingine , Sio kuzungusha maiti mwezi mzima , hizi mambo utazikuta Africa
 
Afrika tungemwitwa kwnza mwenye mkoa wake aseme na amkaribishe mwakyembe aseme na wengine na wote hao watakasema ni lazima waipongeze na serikari ya...na kuponda wapinzani kisha wanawachia wengine ikiwa kesho ndio mwili unazikwa au unasafirishwa basi na gari la mtu fulani linatangulia mbele ila inategemeana ns mahusiano yao.

Semeni amen.
 
Back
Top Bottom