Kobelo Cha Pombe vs Masele Chapombe

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Habari za muda huu wadau na wafuatiliaji wa habari za ma'celebrities..I hope mko poa.
Naam..!!Bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye kusudio la huu uzi,Nimekua mfuatiliaji mzuri sana wa filamu za hapa bongo especially za Vichekesho tangu enzi za kina Marehemu King Majuto,Kingwendu,Zimwi,Sharo Millionaire,Bambo,Mtanga kina Kiwewe hadi zama za kina Tini White,Kinyambe,Ringo,Gondo.
Moja kati ya Scene au nafasi ambazo hunivutia sana ni ya Ulevi,yaani namaanisha actor/actress kuigiza kama mlevi,hii ilianza kunivutia tangia enzi za Marehemu John Walker alivokua akiimba kama mlevi,pia Radio Free Africa katika kipindi chake cha Mambo mambo siku za nyuma kikiongozwa na Charles Machogo kilikua na Segment ya Busara za mlevi,kilivutia sana.

Back to the point,Katika tasnia ya Uigizaji hasa Comedy kuna Mjuba anaitwa Masele Chapombe,huyu jamaa kaanza kitambo kuigiza kama mlevi na anajua sana hadi ilifikia kipindi nikawa naona hakuna muigizaji anaeweza kuigiza kama mlevi kumzidi yeye kutokana na kuuvaa uhusika vizuri.
Ila hapa kati katokea chalii flani ivi sijui katokea fiade gani uko!?yuko yechu na anajua sana ku'act kama mlevi,Huyu jamaa anaitwa Emilian Kobelo maarufu kama Kobelo chapombe mzee wa#Inaumagaiyo!!huyu ni Comedian,Director na Editor pia wa Tamthilia ya Maneno ya Kuambiwa,Nahisi Masele anamzidi ile kuyumba tu akiwa anatembea au kasimama ila Kobelo ana vitu vingi sana kumzidi Masele katika Scene ya Mlevi.
Je kwenu wadau mnaona nani ni zaidi ya mwenzake kukaa katika scene ya Mlevi??
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • ah.jpg
    41.9 KB · Views: 11
  • ah1.jpg
    33.6 KB · Views: 13
Lakini ni kweli pia wanagonga vyombo au ndio kuigiza tu
 
!
!
Kama Hujamtaja Marehemu Max Basi Uzi Mzima Umekosa Mashiko. Unamwachaje Max Kwa Mfano? Hukumbuki Kweli Max Na Zembwela
 
!
!
Kama Hujamtaja Marehemu Max Basi Uzi Mzima Umekosa Mashiko. Unamwachaje Max Kwa Mfano? Hukumbuki Kweli Max Na Zembwela
Hao enzi zao sikuwaona bablai,So hapo nimewaweka ambao nimewaona.Zembwela nimeanza kumuona kwenye Uswazi EATV
 
masele. huyu mteja wa unga pale sinza iteba kwa wazigua?
 
Na pia Masele ni mbunifu zaidi. Huwa anaigiza "ajali" za kilevi halafu mtu unasema ile itakuwa kweli...

Rejea
1. Kusimama mlangoni wakati Zembwela anagonga hodi hivyo kujikuta anamtia makwenzi halafu MASELE hata haelewi
2. Kupamia toroli la watu na kudumbukia nalo kwenye mto wa maji machafu pale Tandale
3. Kudumbukia kwenye swimming pool kisa kumshangaa DEMU kwenye nyimbo ya Demu wangu
4. Kuwa golikipa na kujigonga kwenye mwamba wa goli

n.k
 
Mbona ata Kobelo anafanyaga hayo!!ebu cheki maneno ya kuambiwa episode1 hadi 38.na movies zingine
 
Kwani huyu masele aliendaga wapi au kaachaga kuigiza.
Binafsi nawakubali pembe senga na (marehemu majuto) na braza k wa fuhuhi hao wengine simfagilii hata mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…