Kobelo Cha Pombe vs Masele Chapombe

Kobelo Cha Pombe vs Masele Chapombe

Hao enzi zao sikuwaona bablai,So hapo nimewaweka ambao nimewaona.Zembwela nimeanza kumuona kwenye Uswazi EATV
Mkuu,kwani huwezi kuongea vizuri bila hayo maneno ya arusha huko ? Yani mtu akiyatumia inatoa perception mbaya,samahani lakini
 
Masele bado yupo juu...

Yule jamaa muda wowote ukikutana nae yeye ni kama mlevi...


Cc: mahondaw
 
Namkubali sana kobelo, masele anatumia nguvu nyingi huwa simuelew kwa kweli
 
Masele ameuvaa uhalisia kiasi kwamba ukisikia jina Masele image ya mlevi inakujia kichwani, Masele ni synonymous na Pombe , huyo kobelo wenu Bado sana kwa Masele..

Ni Sawa na Kumlinganisha Albert Einstein na Dokta Manyaunyau
 
Habari za muda huu wadau na wafuatiliaji wa habari za ma'celebrities..I hope mko poa.
Naam..!!Bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye kusudio la huu uzi,Nimekua mfuatiliaji mzuri sana wa filamu za hapa bongo especially za Vichekesho tangu enzi za kina Marehemu King Majuto,Kingwendu,Zimwi,Sharo Millionaire,Bambo,Mtanga kina Kiwewe hadi zama za kina Tini White,Kinyambe,Ringo,Gondo.
Moja kati ya Scene au nafasi ambazo hunivutia sana ni ya Ulevi,yaani namaanisha actor/actress kuigiza kama mlevi,hii ilianza kunivutia tangia enzi za Marehemu John Walker alivokua akiimba kama mlevi,pia Radio Free Africa katika kipindi chake cha Mambo mambo siku za nyuma kikiongozwa na Charles Machogo kilikua na Segment ya Busara za mlevi,kilivutia sana.

Back to the point,Katika tasnia ya Uigizaji hasa Comedy kuna Mjuba anaitwa Masele Chapombe,huyu jamaa kaanza kitambo kuigiza kama mlevi na anajua sana hadi ilifikia kipindi nikawa naona hakuna muigizaji anaeweza kuigiza kama mlevi kumzidi yeye kutokana na kuuvaa uhusika vizuri.
Ila hapa kati katokea chalii flani ivi sijui katokea fiade gani uko!?yuko yechu na anajua sana ku'act kama mlevi,Huyu jamaa anaitwa Emilian Kobelo maarufu kama Kobelo chapombe mzee wa#Inaumagaiyo!!huyu ni Comedian,Director na Editor pia wa Tamthilia ya Maneno ya Kuambiwa,Nahisi Masele anamzidi ile kuyumba tu akiwa anatembea au kasimama ila Kobelo ana vitu vingi sana kumzidi Masele katika Scene ya Mlevi.
Je kwenu wadau mnaona nani ni zaidi ya mwenzake kukaa katika scene ya Mlevi??
@NgarenaroBoy.
Mie mpka kesho najua masele ni mlevi kufa hadi mtaani....unajua ni kwa nini?
 
Kwani huyu masele aliendaga wapi au kaachaga kuigiza.
Binafsi nawakubali pembe senga na (marehemu majuto) na braza k wa fuhuhi hao wengine simfagilii hata mmoja
Uwakubali usiwakubaki inattmegemea na kiwango cha bangi unachovuta.
 
Mkuu,kwani huwezi kuongea vizuri bila hayo maneno ya arusha huko ? Yani mtu akiyatumia inatoa perception mbaya,samahani lakini
Duuh yaani ilo neno Bablai tu ndo limeleta Perception mbaya Mkuu??Sawa bhana.
 
Back
Top Bottom