Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,312
Masele anagonga vyombo haswa mzee wa mbezi LuisAaah Super General Galadudu me nahisi Masele atakua anagida maji nje ya movies,but Kobelo sidhani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masele anagonga vyombo haswa mzee wa mbezi LuisAaah Super General Galadudu me nahisi Masele atakua anagida maji nje ya movies,but Kobelo sidhani.
Hivi comedy za huyo jamaa zinapatikana mtamdaoni ? Nimetafuta sana sipati,Mara ya mwisho nilionaga vhs!
!
Kama Hujamtaja Marehemu Max Basi Uzi Mzima Umekosa Mashiko. Unamwachaje Max Kwa Mfano? Hukumbuki Kweli Max Na Zembwela
Mkuu,kwani huwezi kuongea vizuri bila hayo maneno ya arusha huko ? Yani mtu akiyatumia inatoa perception mbaya,samahani lakiniHao enzi zao sikuwaona bablai,So hapo nimewaweka ambao nimewaona.Zembwela nimeanza kumuona kwenye Uswazi EATV
Hivi comedy za huyo jamaa zinapatikana mtamdaoni ? Nimetafuta sana sipati,Mara ya mwisho nilionaga vhs
hamna kitu hapa
Mie mpka kesho najua masele ni mlevi kufa hadi mtaani....unajua ni kwa nini?Habari za muda huu wadau na wafuatiliaji wa habari za ma'celebrities..I hope mko poa.
Naam..!!Bila kupoteza muda ngoja niende moja kwa moja kwenye kusudio la huu uzi,Nimekua mfuatiliaji mzuri sana wa filamu za hapa bongo especially za Vichekesho tangu enzi za kina Marehemu King Majuto,Kingwendu,Zimwi,Sharo Millionaire,Bambo,Mtanga kina Kiwewe hadi zama za kina Tini White,Kinyambe,Ringo,Gondo.
Moja kati ya Scene au nafasi ambazo hunivutia sana ni ya Ulevi,yaani namaanisha actor/actress kuigiza kama mlevi,hii ilianza kunivutia tangia enzi za Marehemu John Walker alivokua akiimba kama mlevi,pia Radio Free Africa katika kipindi chake cha Mambo mambo siku za nyuma kikiongozwa na Charles Machogo kilikua na Segment ya Busara za mlevi,kilivutia sana.
Back to the point,Katika tasnia ya Uigizaji hasa Comedy kuna Mjuba anaitwa Masele Chapombe,huyu jamaa kaanza kitambo kuigiza kama mlevi na anajua sana hadi ilifikia kipindi nikawa naona hakuna muigizaji anaeweza kuigiza kama mlevi kumzidi yeye kutokana na kuuvaa uhusika vizuri.
Ila hapa kati katokea chalii flani ivi sijui katokea fiade gani uko!?yuko yechu na anajua sana ku'act kama mlevi,Huyu jamaa anaitwa Emilian Kobelo maarufu kama Kobelo chapombe mzee wa#Inaumagaiyo!!huyu ni Comedian,Director na Editor pia wa Tamthilia ya Maneno ya Kuambiwa,Nahisi Masele anamzidi ile kuyumba tu akiwa anatembea au kasimama ila Kobelo ana vitu vingi sana kumzidi Masele katika Scene ya Mlevi.
Je kwenu wadau mnaona nani ni zaidi ya mwenzake kukaa katika scene ya Mlevi??
@NgarenaroBoy.
Uwakubali usiwakubaki inattmegemea na kiwango cha bangi unachovuta.Kwani huyu masele aliendaga wapi au kaachaga kuigiza.
Binafsi nawakubali pembe senga na (marehemu majuto) na braza k wa fuhuhi hao wengine simfagilii hata mmoja
Lakini ni kweli pia wanagonga vyombo au ndio kuigiza tu
Nimesoma Komenti Tangu Ya Kwanza Ila Nilipofika Hapa Kwenye Yako Nimemaliza AsehMasela = Ronaldo De Lima
Kobelo = Meddie Kagere
Kazaliwa 2000 Mwenzio!
!
Kama Hujamtaja Marehemu Max Basi Uzi Mzima Umekosa Mashiko. Unamwachaje Max Kwa Mfano? Hukumbuki Kweli Max Na Zembwela