Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Sasa mkuu si atakugonga mara nyingi sana ukibaki hapo
 
Koboko moja kati ya nyoka mbabe na mwenye hasira za hali ya juu, nyoka uyu anaweza kukimbia kwa 12mile/hour na kusimama urefu wa futi 4 kwenda juu.
Ni nyoka anaeweza kukung’ata zaidi ya mara moja kama ataona ajakung’ata vizuri.
Ni nyoka mwenye meno marefu (0.8”) most dangerous specie.
 
Katika ulimwengu wa Nyoka kuna mambo ya kushangaza sana,kuna wakati Cobra alioekana akimmeza Koboko mdogo huko Msumbiji,na Kuna Koboko mkubwa aliyeuwawa na wanajeshi huko Botswana alipopasuliwa tumboni walikuta ame mmeza Cobra mkubwa sana.
 
Wataalam tusaidieni huduma ya kwanza ni ipi unaoumwa na nyoka
Kuna Nyoka wa aina nyingi sana,kuna wengine wanang'ata bila kudunga sumu,kuna wenye mild venom,kuna dry bite, na kuna wengine sumu yao ni inaitwa two steps to death..guess what huyo ndio Koboko.
 
Cape file snake ndie nyoka ambaye hauwawi na sumu ya nyoka yeyote hata ya Koboko,na huwa anawala koboko wadogo,alipo nyoka huyu ambaye hana sumu Koboko hukimbia.
 
Kuna snake island huko Brazil ni the most dangerous Island in the world
Yaani kila unapokanyaga ni nyoka.
Ni marufuku kufika eneo hilo ila jeshi tu hapo utajua heshima ya Sniper hahahaha
Ngoja na mimi nikatembelee huko kama watanipa kibali wajeda wa UK
 
Mungu mkubwa aisee, ndo wanasema unatakiwa ufanye hivyo ukimuona
 
Cape file Snake,huyu hata akigongwa na Koboko hafi.
 
huu hapa. Nyalandu alikua anachekesha
Nyalandu atuma kikosi kazi kumaliza nyoka wa Koboko Urambo
 
Niliwahi kutembelea Meserani snake park huko Arusha, sikuwa na idea na baadhi ya nyoka, je huyu mdudu anapatikana pale? Na pia kuna snake park moja pale Mapinga Bagamoyo ningependa kujua kama wapo ili nifanye utalii wa ndani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…