Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

huyu ndo kifutu yaani boomslang
hawa ni puff adder ndo koboko
kaka unafahamu study za reptiles na amphibians?unafahamu classification na identification vizuri?tusije bishana kumbe mwenzangu haupo huku kaka.

Mkuu puff adder si ndo Bitis arientas kama sijakosea, hao ni vifutu na sababu ya common name yao kua puff adder ni sauti wanayoitoa wanapojihami, nipo nao sana huku nilipo
 
Maeneo yangu kuna hawa wanaitwa vifutu, ni wazito ila wana sumu kali sana, hapa nilikuwa namhifadhi, unaweza kujionea hapa
 

nothing in your head buddy unajua lakini hujui kitu,vitu viko wazi kabisa hvyo bado unaleta ubishani tu,me hao koboko mpaka huko bush kwetu washaleta shida sana so nawajua cyo kwa picha ka ww,kwetu hata tukiwa school koboko kupita mlipo wanafunz ni kawaida hao vifutu ndo usiseme kuwakuta class asubuh ni kawaida sana kwa kule bush kwetu so nawajua vilivyo sibahatsh
 

Mkuu sijui umekula maharage ya wapi wewe na classification zako hizo ....puff adder ni kifutu,boomslang ni wale wa kijani though sio green mamba na black mamba ni koboko na sifa alizozitaja mleta mada ni za koboko ,mie sijawahi ona kifutu akisimamia mkia kumshambulia adui au akiwa na mwendo kasi wa 30 km/h kama siajkosea
Ila kwa kua maharage na nyama yote yana protein nadhani wewe unaweza ukaziweka class moja though ni vitu viwili tofauti
 
Thubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu

We mtoto una laana! Yaani ngenye mpaka kwenye nyoka?
Mnfssssssssss!
 
mkuu unaweza kuwa mtaalamu lakini tatizo hapa siyo utaalamu ni tafsiri. sisi tunasema, black mamba ni koboko na puff adder ni kifutu. tuongezee cobra ni swila.

We jamaa mbishi daa! Huna mshipa wa kufundishika kbs
 


Maelezo ya jamaa hata km sio sahh lkn ni professional...ww unaongea kishabiki, kibabe, bila hoja zaidi ya kashfa....curse u
 
Lakini pia kuna green mamba mkuu.

Bila shaka wapo wa aina mbali mbali lakini wote wana midomo mieusi ila wana rangi ya ngozi totafaui tofauti..

Green mamba nae ni hatari sana, ila wale ni wadogo kulinganisha na black....
 
inavyoonekana green mamba ni defensive wakati black mamba ni aggressive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…