[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]kwetu mtu akikuchoka anakutumia koboko mwisho wa jeuri yako - ha ha ha
Kuna siku nikipenda nitamleta mmoja hapa mjini awe bodyguard wangu; maana kuna watu wanajifanya wajuaji sana.
MmhhhKoboko hata umkate nusu, ataishi vizuri tu
Na baada ya mda, ataota mwili mwingine mpya.
Kusenya!!! Hahahaha, Bhwachamawe msumbhatiAnhaaa , tushakutana sana na hizo harufu enzi za kusenya kuni porini.
Loh, na mie nshakuwa muhenga kumbe hahahah
Chasugu mwanawasu hahahahhKusenya!!! Hahahaha, Bhwachamawe msumbhati
Huyu cobraView attachment 769349
Koboko ni nyoka hatari kabisa kuliko woote.
Waongelamo bhwakisiChasugu mwanawasu hahahahh
Jidangaye usogee.Huyu cobra
Watu wana hatari
Huyu ni koboko sio kobraHuyu cobra
Ila bahatini kuna samaki wana sumu kali huyu taa akasomeUkimkanyaga anakuchoma kama mchoro unavyo onyesha
View attachment 776675
Ukikutana na yule mkubwa damage yake ni kubwa kama huyu dogo alivyodungwa na kwenye paja
View attachment 776690
Taa wako wa aina nyingi sio samaki wa kubeza ni hatari sana sana kuutoa mwiba mara nyingi inahitaji upasuaji
Huu mwiba "Barb" umeingia deep.
View attachment 776700
Alipenda tena kumalizia na mate akiitamka kiaustralia like mait.
[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hivi inakuwaje story za huyu ibilisi huwa zinashamiri sana mida hii ya usiku ?
Huyu jamaa anabahati sana mwaka 2012 aligongwa na King Cobra aliponea chupu chupu.Watu wana hatari
Anamshika ziraili[emoji3]
Hahahaaa ulikuwa umepita eneo la hatari
Box jelly fish irukannji huchukui nusu saa lazima unyooshe miguu.Ila bahatini kuna samaki wana sumu kali huyu taa akasome
Jellybox fish naskia ni noma, eel fish na mkunga nae
Mbona hajapanua mashavuHuyu Swila ndio bingwa wa kuwaogesha watu kwa mate.View attachment 769628
Naanza kupoteza imani na weweTena anashabaha sana.I
Duu unamkumbuka huyo jamaa sijui wa ShropshireHizi kazi zinahitaji roho ngumu sana,2012 Muingereza Mark Oshea aligongwa na King Cobra akaponea chupu chupu sasa hivi simuoni sana.
We muongo sana, nilikuwa nakuamini mwanzoKoboko akikukimbiza kama kuna mteremko huwa ana tabia ya kung'ata mkia wake halafu anakuwa kama gurudumu kubwa la baiskeli dakika moja tu aanakufikia.