Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Ila bahatini kuna samaki wana sumu kali huyu taa akasome

Jellybox fish naskia ni noma, eel fish na mkunga nae

Kitu hicho na wahanga wake hapo chini.
Huyu Mchina alijipendekeza aliponea chupuchupu
Baada ya kukaa kwenye Coma wiki moja.

Huyu muaustralia yuko kwenye Coma baada ya kumshika Box jellyfish.
 
Nakubali
 
We muongo sana, nilikuwa nakuamini mwanzo
Kuna sifa ni kweli anazo lakini wamezidi kumpamba kama ujuavyo sisi waswahili.... eti nyoka anadandikia gari ipo speed 80 na anakaa kwenye chassis anasubiri ufike nyumbani upaki gari ndipo nae ashuke ili akugonge.... hahahahahahahaha

Mmemdecorate sana huyu nyoka....
 
Kiukweli Koboko ni mmoja katika nyoka wenye sumu kali duniani (sio wa kwanza)

Ni nyoka mrefu zaidi mwenye sumu Africa na wa pili kwa urefu duniani.(Kwa wenye sumu)

Ana mbio kuliko nyoka wote duniani
Sasa sifa zote hizo alizonazo unafikiri watu wataacha kuongeza na chumvi

Kuna mdau kaandika humu kuwa ana uwezo wa kugonga watu 120 duuu nikajiuliza kuna habari zingine atazisoma humu akienda kijiweni watamkoma
Maana ataongeza Mara 100 halafu ataapa na kuapa kuwa kaona video kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…