Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Pamoja na hayo yote wasukuma wale wanaofuga ng'ombe porini wana dawa ya kumfanya nyoka asimuone wala kugusa kundi la ng'ombe. Pia, wasukuma wanatibu kama mtu akiwahiwa mapema.

Hili dude kuna siku limeangusha ng'ombe 10 kwa mpigo. Liligonga kama 13, ziliokolewa tatu tu
 
Pili kuna wale watu akiona tu nyoka ye anakimbilia fimbo au jiwe. Siku ukikutana na nyoka huyu acha hayo mambo ya kifala ndo atakugonga gonga mpaka uwe kama chujio kwa mashimo atakayokuachia mwilini.😀😀😀😀😀😀 COVID19
 
Kuna siku niliwaza,,
Nahisi Nuhu alikuja gotea africa na kuanzisha makazi,maana viumbe vingi sana vipo africa,
Hasa ukitazama tanzania,almost all species,kila kiumbe yani tunacho..

Hebi fikirin na nyie mtazame hili,,
Ukianza na mbuga za wanyama,
Wanyama wenyewe...

Sometime it make sense,
 
Back
Top Bottom