chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Huyu kaamua kuirudia tu ipo humu kitambo sanaHizi threads hazina mvuto kwasasa ingekuwa vyema uihifadhi hadi ishu ya Korona itulie
na kweli kafanikiwa lengo lake...
Nilimuona 8 , 8 Dodoma mwaka janaShukrani kwa nondo ,hivi hakuna sehemu kama zoo hivi kwa Tz wamehifadhiwa nikapige nao kaselfie kidogo ?
Story yake haichoshi kuisikiliza au kuisoma . Sema inatiwa kachumvi kidogoHuyu kaamua kuirudia tu ipo humu kitambo sana
Hilo swala la kutizamana nae kimsingi litakuwa gumu...
Hizi threads hazina mvuto kwasasa ingekuwa vyema uihifadhi hadi ishu ya Korona itulie
Nimetaka kijikumbusha you tube nimekausha
Maccm huwa hayana hurumaCorona haijaisha mnatuletea mengine! Eti ana aibu, nyie watu nyie!!!