kindondindo
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 503
- 149
Huku singida ni wengi sana hasa black mamba wanapenda kukaa kwenye mibuyu.wanapenda kutoka asubuhi kwenda kuwinda hasa panya na jioni huludi kulala njia yake ni ileile. maranyingi ukikuta kafunga barabara madereva huwa wanamuacha avuke. anlisha wahi kuua ng'ombe kama kumi ndaniya dk tatu.ninyoka mpole kama hajachokozwa ilaakichokozwa eneo alipo nihatari mwezi mzima.nihayo tu!
Ilitoke mwaka 2004 sehemu inaitwa gilai karibu na lake natron . Huyu docta alikuwa anaenda kutibu kwenye maboma ya wamasai bahati mbaya gari likaharibika ikabidi ashuke kurekebisha ndio kwa bahati mbaya akakutwa na huyu nyoka... Hawa nyoka wanapenda sehemu zenye joto.
Kanda ya ziwa na mikoa ya kusini, kwa mikoa ya kusini anaitwa NKOLOWONJI. Ni noma sana huyu jamaa matukio yake nahisi ana IQ kubwa sana hasa timing zake. Ngoja niende google kumjua zaidi
Huku singida ni wengi sana hasa black mamba wanapenda kukaa kwenye mibuyu.wanapenda kutoka asubuhi kwenda kuwinda hasa panya na jioni huludi kulala njia yake ni ileile. maranyingi ukikuta kafunga barabara madereva huwa wanamuacha avuke. anlisha wahi kuua ng'ombe kama kumi ndaniya dk tatu.ninyoka mpole kama hajachokozwa ilaakichokozwa eneo alipo nihatari mwezi mzima.nihayo tu!
Kuna kipindi mtandaoni niliona kua storry ya nyoka mubwa alokuwa akipatikana hukoisr chini ya habar ile ile story ilikaa kama imagneationa flan ivi naombawenye kujua lolote anipe ufham
Majina yake ya kubatizwa ya kiswahili ni nani? ??!!!
Akifunga barabara kwani si unapitia na tyre tu? Au hafi akikanyagwa na tyre?
Kuna kipindi mtandaoni niliona kua storry ya nyoka mubwa alokuwa akipatikana hukoisr chini ya habar ile ile story ilikaa kama imagneationa flan ivi naombawenye kujua lolote anipe ufham
Mwongo mkubwa wewe, black mamba huyu hapa chini anakuangalia na kukushangaa kwa kumsingizia ukubwa asiokuwa nao, yeye ni mdogo tu, urefu wasitani futi 9; uzito wasitani kilo 2, ila ni mmoja kati ya nyoka wenye sumu kali namba 6 duniani, anapandisha hasira sana mara akishachokozwa au kitishiwa, na ni nyoka aendaye spidi kubwa kuliko wote duniani (20 km kwa saa). Huku kwetu mkoani Katavi wanaonekana mara kwa mara, na hawafugiki !!!
View attachment 190535
Wakati flani huko Zimbabwe Black Mamba alikua amekaa barabarani , huku akiwa ameachama mdomo, mdomo ulioanzia upana kutoka upande mmoja wa barabara hadi upande wa pili , gari Land-rover 110 likiwa safarini lilipofika hapo alipo nyoka , dreva alidhani kafika kwenye Tunel (njia ya chini kwa chini)
Akailengesha gari domoni mwa nyoka !
Na ndy gari ikawa imemezwa na wasafiri wake wa 5 (watu) haijawahi patikana gari wala watu!
Mwaka wa 10 sasa!
Black na Green mamba ni kweli wote wana sumu kali sana lakini ni kati ya nyoka waoga na wapolea sana duniani,namaana gani?ni nadra sana kukutana na black mamba,yeye akikiuona anakukwepa,jificha au akimbie,otherwise umkanyage au umguse!...hawa kule moshi kipindi cha baridi wanakimbiliaga ndani ya nyumba,kama hamna tiles au carpet atajificha huko ndani na itakuwa nadra sana kumuona na anaweza toka akaishia zake hata baada ya miez bila nyie kujua,green mamba moshi ndio wako wengi,haswaa baada ya kilimo cha kahawa kuporomoka,yale madawa tuliyokuwa tunapiga shambani yalikuwa makali na nyoka walikuwa hawakai,lakini sasa hivi ikifika saa sita mchana upande mahali pa juu ili uione fensi yenu ya buganvilia kwa juu lazma umuone ''ISALE'' kama wachaga wanavyomuita,anafanana sana na majani na ukimuona dk,ya pili anakupotea,kuna jamaa alimkanyaga usiku black mamba akamuuma,hakufa,tulichukua wembe fasta tukamkata kidogo kidogo eneo alilongatwa alafu jamaa mmoja akavuta kwa mdomo kama mara ishirini ivi tukamuwaisha hospitali usiku ule kufika baada ya kama 2hours mguu umevimba kweli lakini alipona!...cha msingi ukiumwa na nyoka jitaidi kujua ni nyoka aina gani amekuuma sababu sumu zao zinatofautiana na tiba ni tofauti!MAMBAS ni aina ya nyoka wakali wapatikanao ktk dunia ya leo.
Ni nyoka wenye sumu kali na wenye kasi ktk mwendo na wana sifa ya kutaga mayai (oviparous).
Kuna aina mbili za mambas :
1>GREEN MAMBAS.
2>BLACK MAMBAS.
Green mamba wanasumu aina ya NEUROTOXIC na HAEMOTOXIC.
Wanaishi miaka 12 hadi 14 (makadirio kulingana na takwimu za sayansi) wanataga mayai na kuanguliwa kwa siku 80 hadi 90.
BLACK MAMBA pia wanauwezo wa kupanda miti wakati wakitafuta chalula na wanaurefu kati ya sentimita 220 hadi 320.
Ni kati ya nyoka wenye sumu kali wapatikanao Afrika.
Wanataga mayai kati ya 12 na 18,na kuangua kati ya siku 80 hadi tisini.
Mambas ni nyoka wakali na wenye kung'ata zaidi ya mara moja kwa sababu meno yao hayang'ooki wakti wakigonga kitu.
Meno yanayong'ooka kwa nyoka yanaitwa FRONT FANGED MOVABLE na yasiyong'ooka yanaitwa FRONT FANGED FIXED.
Iwapo nyoka huwa wata kung'ata utaweza kuishi kati dakika 20.
(kama unafahamu mengine kuhusu nyoka unaweza kutuhabarisha zaidi)
maoni/ushauri: iddyallyninga@Gmail.com
Wakati flani huko Zimbabwe Black Mamba alikua amekaa barabarani , huku akiwa ameachama mdomo, mdomo ulioanzia upana kutoka upande mmoja wa barabara hadi upande wa pili , gari Land-rover 110 likiwa safarini lilipofika hapo alipo nyoka , dreva alidhani kafika kwenye Tunel (njia ya chini kwa chini)
Akailengesha gari domoni mwa nyoka !
Na ndy gari ikawa imemezwa na wasafiri wake wa 5 (watu) haijawahi patikana gari wala watu!
Mwaka wa 10 sasa!
Black na Green mamba ni kweli wote wana sumu kali sana lakini ni kati ya nyoka waoga na wapolea sana duniani,namaana gani?ni nadra sana kukutana na black mamba,yeye akikiuona anakukwepa,jificha au akimbie,otherwise umkanyage au umguse!...hawa kule moshi kipindi cha baridi wanakimbiliaga ndani ya nyumba,kama hamna tiles au carpet atajificha huko ndani na itakuwa nadra sana kumuona na anaweza toka akaishia zake hata baada ya miez bila nyie kujua,green mamba moshi ndio wako wengi,haswaa baada ya kilimo cha kahawa kuporomoka,yale madawa tuliyokuwa tunapiga shambani yalikuwa makali na nyoka walikuwa hawakai,lakini sasa hivi ikifika saa sita mchana upande mahali pa juu ili uione fensi yenu ya buganvilia kwa juu lazma umuone ''ISALE'' kama wachaga wanavyomuita,anafanana sana na majani na ukimuona dk,ya pili anakupotea,kuna jamaa alimkanyaga usiku black mamba akamuuma,hakufa,tulichukua wembe fasta tukamkata kidogo kidogo eneo alilongatwa alafu jamaa mmoja akavuta kwa mdomo kama mara ishirini ivi tukamuwaisha hospitali usiku ule kufika baada ya kama 2hours mguu umevimba kweli lakini alipona!...cha msingi ukiumwa na nyoka jitaidi kujua ni nyoka aina gani amekuuma sababu sumu zao zinatofautiana na tiba ni tofauti!
ndo mwenyewe huyo akawii kusimamia mkia!
Mmmmhhh aiseee hawa nyoka wanapatikana wapi hasa kwa hapa tz,makazi yao wanaopenda maana ni zaidi ya hatari,tiba ya haraka ya bite?
Hadithi yako inatufundisha nini?