Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Ndio hao wa chunya wapo pori la mbangala
Viongozi.

Nawashukuruni sana.

Sababu haya yote ni maneno ninayoyasikia.

Sikuwahi shuhudia.

Kwahiyo ninapopata majibu ya kweli, inasaidia.

Na nnakuwa na uhakika zaidi kwa kile nilichokisikia, kiasi kwamba hata mimi mwenyewe ntakuwa huru na uhakika zaidi ninaposikia Watu wanazungumzia kile ambacho nimehakikishiwa kipo, na kinatokea
 
Black Mamba haina maana ni mweusi wapo wa kijani na rangi zinazoshabihiana na mazingira na bado ni black Mamba.

Kuna aina anuai za sumu za nyoka
1. 'Neurotoxin'
Hii ni sumu inayoathiri mfumo wa fahamu kwa maana ku paralyse mfumo mzima
Kwa lugha rahisi inakata mawasiliano ya mfumo mzima wa fahamu

Athari zake ni kauthiri mfumohewa na maeneo yanayotegemea mfumo wa fahamu kama moyo

Sidhani kama ni sahihi kusema kuna cardio-toxin, bali kuna sumu (venom) ambazo ni toxic kwa heart kwasababu ya kuingilia mfumo wa fahamu

2. Kuna 'Hemotoxin'

Sumu ya nyoka wa aina hii huathiri mfumo wa damu kwa kuingilia uwezo wa viwambo(membrane) kuzuia uvujaji wa damu maeneo ya mwili. Mwathirika huvuja damu

3. Cytotoxin
Hawa wanaathiri cells za mwili. Athari zake zipo eneo aliloumwa mwathirika.
Kama ni mkono haichukui muda utaona una malenge lenge, unaanza kuoza na kuathiri mwili kutokana na kidonda. Nyoka maarufu katika kundi hili ni kifutu

Ingawa kugongwa na nyoka ni ajali na hakuna ajali nzuri, hata hivyo uwezekano wa mtu kupona unaanza na kundi la 3.

Ikitokea kuna ucheleweshaji wa mgonjwa, huenda akapoteza kiungo

Halafu ni 'hemotoxin' ambao wanatoa lau muda wa kutafuta mbadala kabla ya tamati

Kundi la kwanza ni baya sana 'linakata umeme' wa mwili. Nusu saa huwa muda mrefu

Katika haya ya nyoka yapo mengi sana ya kuelezwa

Swali tusilojiuliza ni 'je hospitali zetu zina anti-venom' ikitokea tatizo tatizo?
 
Nazan ni mpaka uende Meserani snake park
 
Sasa koboko msenge tu kwa nyoka anaitwa kipili ni kfupi rangi yake kama nguo za jeshi yule akikung'ata dk 2 alipong'ata patanaanza kuoza huchuki raundi dk 10 nyingi umesha rudisha no
 
wewe haumjui Koboko. Njoo tabora uwaone na umgonge na gari lako umefungua vioo ksma hatukuziki.
 
uko sahihi kabisa
 
Usimsahau bundi na koboko huwezi mkuta anatembea usiku yeye ni mchana usiku nae anawindwa na bundi
 
NCHI INA NJAA MNAJADILI BLACK MAMBA, NAWATOTO WENU SHULE YA MSINGI WAONGELEE NINI
 
Ngoja niwasimulie!!!!!!!!!Sasa sikiliza kuhusu huyu black mamba yani kikwetu //omoho)))) siku moja jioni nimerudi home nikamkuta kaingia ndani kutafuta maji ulikuwa wakqti wa kiangazi usiku wa2...... nikafunga mlango kukabilian nae nilipotaka kumtwangwa fimbo ya kwanza kakwepa kakimbilia mlangoni nilipokuwa tukabadilishana cover kumbuka mlango umefungwa ikavimbisha kichwa alafu kasimama kainuka kama futi3 juu nikasema nisubiri akifika kama feet5 nilale nae mbele kukabiliana nilipomuana hasira zimefika mwisho tukanza kuliana timing anataka kuniwai nikahesabu second kuwa baada ya sekunde ya 3 nimuwai nilipofika sekunde ya 2 umeme ukakatika kumbuka yuko mlangoni na umefungwa alafu giza nae anaona kama mchana.....naomba Kesho niendelee na story
 
Ulivyianza kama kweli vile kumbe duuuh
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…