Kuna koboko mmoja alikuta roli la madawa limeanguka vidonge vikawa vimesambaa kila mahali kwa njaa zake koboko yule akala Viagra basi alisimama mwezi mzima.
Mkuu koboko tena?!ngoja tuendelee Koboko hasa yule mkomavu anaweza kukugonga bila sababu ili ufe tu.
Hivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Black mamba ni koboko, kwa shape na urefu naamini puff ader ndiyo kifutuHapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Nipo chunya huku wako wengi ni nyoka hatari sana wanaweza kuua ng'ombe mia kwa dakika chache tu!..Ni balaa hicho kifaa kinaweza kuua watu mia in 5min acha tu,huku kwetu ushirombo ndo vipo,kuna siku nimekutana nacho kinavuka barabara ya vumbi,nikasimama nikarudi nyuma na corola yangu nikakipitia shaaaaaah kumbe sikukigonga kikanasa chini ya gari,bahati nzuri nilikua naenda mwendo mrefu,kufika lami nikaona kitu kimeanguka kwa nyuma dah nikashukuru sana,nikawaza ni vp ninheenda nacho home?
Huu ni moto wa kuotea mbaliHivi koboko kwanini watu hawamtajitaji hovyo ni kwa namna alivyo na sumu kali, na kwa hapa Tanzania wapo maeneo gani hasa
Puff ader mzembe?Mkuu usirudie kufananisha koboko na nyoko wazembe wazembe
Koboko ndiyo black mamba!Nipo chunya huku wako wengi ni nyoka hatari sana wanaweza kuua ng'ombe mia kwa dakika chache tu!..
Na kweli kifutu mvivu unaweza ukamsogeza kwa mguu hahahahaMkuu usirudie kufananisha koboko na nyoko wazembe wazembe
Puff ader mzembe?
Hadi 20km/h.12km/h
Na kweli kifutu mvivu unaweza ukamsogeza kwa mguu hahahaha
Unamkosea heshima.Mzembe sana mkuu yani huyo nyoka usipo mkanyaga akugongi ng’ooo
Ni kweli kifutu ni mvivu anatumia rangi yake kutulia mahali hata kama utamsogelea ndio maana anauma watu wengi sanaPuff ader mzembe?