Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu koboko amewahi kusababisha watu wasipite njia ya kwenda hospital masaa kadhaa kabla ya kuondoka kwa ridhaa yake. Ilikuwa mkoa wa Tabora!Kuna sehemu nipo huku mkoani tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana tabora ,shinyanga,singida na kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayali kumuongelea kiundani wala kumtajaa kwa sababu ukiwa ndani ya mkoa wa tabora au shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chuiii
True ila huwa anaangali lips zinavyocheza halafu anajua ni ule wimbo wake.hahahaa.. ila nyoka hasikii
Asilimia kubwa ya watu hugongwa wakipita chocho,ambazo panya pia hupita.Camouflage ya puff ader haifanyi kazi kwenye makazi ya watu ukigongwa na puff ni wewe ndiyo ulimfuata maeneo yake
Hahaha nyoka anasikia ila siyo kama sisi tunavyosikia isipokua yeye anasikia vibrations so akiona hizi vibrations ni za ule wimbo wake anakuachiaTrue ila huwa anaangali lips zinavyocheza halafu anajua ni ule wimbo wake.
wadogowadogo au wakubwa? nimeshangaa kwamba unamshika afu anakuangalia tu?
Nimeweka video mbili hapo kama bando inasoma hebu angaliaHahaha nyoka anasikia ila siyo kama sisi tunavyosikia isipokua yeye anasikia vibrations so akiona hizi vibrations ni za ule wimbo wake anakuachia
Kivip mkuu, ukutane na koboko, kukimbize afu upone?Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chui
basi ana haki ya kuitwa mzembe.. kwa haya ninayosikia kuhusu koboko ingekuwa game-changer.Hahaha mkuu siyo mzembe kiasi hicho umshike kwa mkono tulikua tunatumia fimbo kumvuta nyuma cha ajabu kuna jamaa alimpiga panga likadunda tukaona isiwe kesi tuka tukichoka kuwachezea tuna piga kichwa tu
basi ana haki ya kuitwa mzembe.. kwa haya ninayosikia kuhusu koboko ingekuwa game-changer.
wale snake charmers kuna ambao nimeona wanawatumia.. sasa sijui wamehasiwa ama vipi.Mkuu huyo koboko alishawahi kutimua watu makabulini ana mana ata kidogo
Koboko alishawahi kukimbiza basi lililojaa abiria kutoka Urambo mpaka karibu na Mboka.Mkuu huyo koboko alishawahi kutimua watu makabulini ana mana ata kidogo
Niliziangalia bossNimeweka video mbili hapo kama bando inasoma hebu angalia
wale snake charmers kuna ambao nimeona wanawatumia.. sasa sijui wamehasiwa ama vipi.
Wale Wahindustani huwa wanawachezea Cobra ila kwa Koboko hata awe amemeza piriton atawagonga tu.wale snake charmers kuna ambao nimeona wanawatumia.. sasa sijui wamehasiwa ama vipi.
Na hao bado hawajakomaa vizuri kuna koboko alionekana Zimbabwe alikuwa ni mrefu sana waliomuona wanasema ameweka record.Niliziangalia boss
Koboko alishawahi kukimbiza basi lililojaa abiria kutoka Urambo mpaka karibu na Mboka.
Daaa aisee sipati picha abiria waliokuwa ndani ya basi walikuwa wanamwangaliaa kwa sura ya aina ganiii wakati koboko analikimbimbiza basiii lao maana nasikia yule mshenzi mkiacha tuu kioo wazi anaingia ndani na kishaa anaanza kufanya vujo zakeeeKoboko alishawahi kukimbiza basi lililojaa abiria kutoka Urambo mpaka karibu na Mboka.
Koboko ukimtajataja sana anatia timu.hiyo ni fact lakini sijui ni kwa nini?! Hapa inabidi utafiti.