stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Wewe ndo unachanganya, koboko (black mamba) ni mrefu hadi mita 3 na kidogo, kifutu (Puff adder) ni mfupi, mnene))Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
Huyu mwili wake kamwe sio mweusi, jina black mamba linatokana na rangi iliyopo kinywani mwake, akifungua mdomo ni kweusi tii. Rangi ya mwili wake sio nyeusi.Huyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.
Ukikutana na simba au chui anakukimbiza na kukuua na kukutafuna mara moja. Ukikutana na Black Mamba anakimbia kujilinda tofauti ni kubwa kati ya nyoka na hawa wafalme wa pori. Black mamba anakuwa mkali sana kama umemkanyaga au atakapohisi amezingirwa na hana pa kutorokea/kukimbia. Ukikutana nae uso kwa uso anakimbia sana, labda kama hana pa kukimbilia ndio atakuattack. Kwa wale wenye DSTV Channel 136 saa moja na nusu usiku Jumatatu mpaka Ijumaa kuna kipindi kinaitwa snakes in the city wale jamaa wanakampuni ya kukamata nyoka ukiona nyoka unawapigia wanakuja kumchukua faster, wamebase South Africa wanakamata nyoka kwa mikono mitupu akiwemo huyo black mamba.Kuna sehemu nipo huku mkoani tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana tabora ,shinyanga,singida na kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayali kumuongelea kiundani wala kumtajaa kwa sababu ukiwa ndani ya mkoa wa tabora au shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chuiii
Hawa nao wana mahatari kama black mamba kweli?Rangi mbali mbali za Koboko wa Jameson zenye kuvutia kwa kumuangalia tu ila usimsogelee.View attachment 767640 View attachment 767641 View attachment 767642 View attachment 767643
Wana sumu kali ila sio wapenda shari wala sio wakorofi ila ukimbananiza unakula bite!Hawa nao wana mahatari kama black mamba kweli?
Aaaaa kwa hiyo katika jamii ya mambas..Wana sumu kali ila sio wapenda shari wala sio wakorofi ila ukimbananiza unakula bite!
Black mamba kadiri anavyokuwa mkumbwa ndio anavyozidi kuwa mshari,amesha wa ambush wawindaji wakajifungia ndani ya gari kuna visa vya ajabu vya koboko kudandia gari linalotembea.Aaaaa kwa hiyo katika jamii ya mambas..
Black ndio washari sana?
Usimsogelee sumu yake inaozesha nyama.Puff adder falaa tuu yanii wakati tunaandaa mashambaa huwaa tunaviuaaa kibaooo....!!