Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

ndiye mwenyewe kimombo anaitwa black mamba Shauri ya rangi nyeusi aliyonayo ndani ya mdomo wake
.
Lakini pia kuna green mamba mkuu.

Bila shaka wapo wa aina mbali mbali lakini wote wana midomo mieusi ila wana rangi ya ngozi totafaui tofauti..
 
listverse.com/2011/03/30/top-10-most-venomous-snakes/
 
we kweli kamanda. hongera
 
kwa urefu huo,huyo alikuwa bado mtoto,but hongera,nyoka mdogo sumu ile ile.
 
Mmmhhhhhhh 1.5m kilo 3????? Huyo si atakuwa na Size ya Bi-ceps ya mtu mzima? Mbona alikuwa menene sana?
 
Lakini pia kuna green mamba mkuu.

Bila shaka wapo wa aina mbali mbali lakini wote wana midomo mieusi ila wana rangi ya ngozi totafaui tofauti..

Hapana inasemekana huyu black mamba anapatikana katika rangi hiyo hiyo ya kijivu na alipewa jina hilo nadhani kutokana na ule weusi ndani ya mdomo ingawa kuna nyoka wengine pia wana rangi nyeusi ndani ya midomo yao
 
yupo wa kijani pia. huyu huitwa green mamba. mikoa ya kaskazini mwa tanzania wanapatikana.
 
Akikua sana,urefu wake ni 4.5m,average yao wengi ni 2.5m.Uzito wake maximum ni 1.6kg.
 
yupo wa kijani pia. huyu huitwa green mamba. mikoa ya kaskazini mwa tanzania wanapatikana.
Lakini huyu sio mtata kama black mamba,black mamba ni mkorofi,hata akikuona kwa mbali hata kama huna mpango nae ana tabia ya ku-charge kuja uliko akugonge.
 
Lakini huyu sio mtata kama black mamba,black mamba ni mkorofi,hata akikuona kwa mbali hata kama huna mpango nae ana tabia ya ku-charge kuja uliko akugonge.

ni kweli kabisa. huyu wa kijani sio mkali sana kama wa kijivu, ila sumu zao ni hatari sana.
 
ndiye mwenyewe kimombo anaitwa black mamba Shauri ya rangi nyeusi aliyonayo ndani ya mdomo wake
.

huwa anakula nyoka wengine kama python??????
au python anamla huyo black mamba
 
Chabutwa nilishafika. Enzi hizo wanafahamika kwa mcheza ngoma Manywele.

Nilifika hadi ndani kabisa wanaita Kumwa Nkeki. Nikaenda kuangalia kwa mara ya kwanza migomba ya Kiguruwe, machungwa na machenza kwa wingi pamoja na nguruwe wa Kizungu kwa akina Yongolo.
Babu yangu alikuwa akiishi hapo na alizikiwa hapo. Ila sikuona Koboko huko zaidi ya kuona mmea wa Bangi kwa mara ya kwanza, teteteteeee....

Mkuu km we ni mtu wa Sikonge basi ulizia Chabutwa , Ulyankulu na uyowa miaka ya 80.
Waliua sana hawa nyoka.

Wanakijiji wakimuona halafu wakashindwa kumuua basi Wafugaji lzm wanahame kijiji.
Siku hizi wamekuwa Wajanja kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…