coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 3,264
- 2,676
Koboko ndiye mambas?
ndiye mwenyewe kimombo anaitwa black mamba Shauri ya rangi nyeusi aliyonayo ndani ya mdomo wake
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Koboko ndiye mambas?
Lakini pia kuna green mamba mkuu.ndiye mwenyewe kimombo anaitwa black mamba Shauri ya rangi nyeusi aliyonayo ndani ya mdomo wake
.
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
kwa urefu huo,huyo alikuwa bado mtoto,but hongera,nyoka mdogo sumu ile ile.Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
Mmmhhhhhhh 1.5m kilo 3????? Huyo si atakuwa na Size ya Bi-ceps ya mtu mzima? Mbona alikuwa menene sana?
Lakini pia kuna green mamba mkuu.
Bila shaka wapo wa aina mbali mbali lakini wote wana midomo mieusi ila wana rangi ya ngozi totafaui tofauti..
Nyoka huyu kaua sana kijijini kwetu.
Lakini huyu sio mtata kama black mamba,black mamba ni mkorofi,hata akikuona kwa mbali hata kama huna mpango nae ana tabia ya ku-charge kuja uliko akugonge.yupo wa kijani pia. huyu huitwa green mamba. mikoa ya kaskazini mwa tanzania wanapatikana.
Lakini huyu sio mtata kama black mamba,black mamba ni mkorofi,hata akikuona kwa mbali hata kama huna mpango nae ana tabia ya ku-charge kuja uliko akugonge.
KikulachoChako tafadhari...
ndiye mwenyewe kimombo anaitwa black mamba Shauri ya rangi nyeusi aliyonayo ndani ya mdomo wake
.
Mkuu km we ni mtu wa Sikonge basi ulizia Chabutwa , Ulyankulu na uyowa miaka ya 80.
Waliua sana hawa nyoka.
Wanakijiji wakimuona halafu wakashindwa kumuua basi Wafugaji lzm wanahame kijiji.
Siku hizi wamekuwa Wajanja kidogo.