Kunywa mkojo wanavyosemaga wazee wa ujiji Kigoma hapa..Nimesoma tokea mwanzo wengi mmetoa ushuhuda wa black mamba bite ila hakuna hata mmoja aliye toa somo la endapo uking'atwa first unatakiwa ufanye nini ili poison isiendelee kusambaa mwilini shame on you wakuu
MIMI NINAVYOONA KAMA TUNAVYOVAA KONDOM KUJIKINGA DHIDI YA UKIMWI BASI ELEMENT KICHWANI YA PIKIPIKI KUJIKINGA NA KICHWANI NA KOBOKONimesoma tokea mwanzo wengi mmetoa ushuhuda wa black mamba bite ila hakuna hata mmoja aliye toa somo la endapo uking'atwa first unatakiwa ufanye nini ili poison isiendelee kusambaa mwilini shame on you wakuu
Wanachomaanisha wasemaji kama nimewaelewa Simba na Chui unaweza kukutana naye kama hana njaa au stress akakukaushia. Ila huyu mdudu ni kama asidi hana sababu. ukikutana naye piga sara ya mwisho haijalishi umemchokoza ana njaa hana njaa yeye anatamani awe pekeake pasiwe na kiumbe mwingine karibu yake. Ndio maana ya uhatari wake kuliko simba maana simba wengi hawawezi kupanda miti wala kuogelea ndani ya maji but huyu mdudu ni all weather panda mti ingia kwenye maji kimbia atakukamata tu. kama nimekosea mnirekebishe maana simfahamu wala sijawahi kumuona na Mungu aniepushe naye.
Aisee..Hii Mada ina mchanganyiko sana wa aina za nyoka, black mamba ni nyoka Mwenye aibu "mstaarabu", hukimbia watu, na asilimia kubwa ya nyoka waliopo Tanzania has a maeneo ya joto ni hawa, ila akidhani amezingirwa hushambulia kwa kujihami, ana sumu mbaya sana, lakini huyu sio koboko, cobra wala kifutu, Mara nyingi ana rangi ya kijivu, asubuhi unaweza za kumuona anaota jua njiani akikuona anajifungua taratibu na kuondoka.
Hawa wanaosema wanakimbizwa na nyoka huyo ni cobra, cobra hata kama ametotolewa Leo atazuia njia usipite, yuko tayari kufa kuliko kukimbia, akiwa Mkubwa anaweza kukimbiza kundi la watu.
Sasa watu wamechanganya koboko na black mamba ambaye ni nyoka anayepatikata kila mahali
anatoka nduki balaa..................Huyu nyoka namtunuku medali ya dhahabu ya Olimpiki. Pumbavu sana huyu mdudu...
Natamani uendelee..Huko nyumbani kuna kijiji kinaitwa Koboko kutokana na huyo nyoka.. Kila mara lazima usikie mazishi, chanzo ni koboko.. Nilikuaga nasikia stori zake tuu, ila sikumtilia maanani..
Siku hiyo natoka sehemu fulani nikakatiza kwenye hicho kijiji ili nitokee kijiji chetu, kuna kanjia kanakatiza msituni na mto.. Sina hili wala lile, narusha mikono huku na kule natembea kwa raha zangu..
Hamadi!! Mita kama 4-5 toka nilipokuwepo nikamuona koboko rangi ya kijivu na weusi katanda njiani.. Alivyoniona akatulia kwanza, akanicheki huku akijiinua taratibu huku ulimi wake ukiwa unacheza cheza na domo lake leusi..
Aiseee, jasho lilitoka kama mvua, vinyoleo vyote vilisisimka nikaona mwisho wa maisha ndio leo..
Tukawa tunaangalia, sikupepesa hata jicho wala kusogeza kiungo chochote, nae akawa katulia tuu ananiangalia..
Nikaanza kusali sala ya Baba yetu moyoni na sala ya toba juu.. Tulikaa hivo kama dakika 5-10, nikaona huyo anaanza kujisogeza mdogo mdogo na kuingia machakani..
Nilitulia pale hadi akapotelea huko msituni, nikamwongezea dakika zingine ili afike mbali.. Nilichomoka hiyo spidi, breki ya kwanza kitandani na usingizi juu.. Haikuisha hata mwezi nikasikia kuna mtu tayari kashakobokolewa..
Nilipoagiza fimbo na kuona inachelewa nikaanza kurusha mawe, akaondoka zakeHujasema ulipokutana nae ulifanyaje, mana umeishia kuita fimbo
Natamani Wizara ya Maliasili imfanyie promo nyoka huyu awe ni miongoni mwa vivutio vya utalii maana ni nyoka mwenye hadithi nyingi na hupatikana sehemu chache tu duniani ikiwepo Tanzania. Kinyume chake hua wanuwawa sana na muda si mrefu ujao wanaweza kutoweka kabisaHuyu nyoka namtunuku medali ya dhahabu ya Olimpiki. Pumbavu sana huyu mdudu...
Natamani uendelee..
Alikuwa mkubwaa?
Nimesoma tokea mwanzo wengi mmetoa ushuhuda wa black mamba bite ila hakuna hata mmoja aliye toa somo la endapo uking'atwa first unatakiwa ufanye nini ili poison isiendelee kusambaa mwilini shame on you wakuu
hamna haitwi hivoHivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Hapana... acha tukose watalii... Huyu nyoka ni wa kuangamiza.Natamani Wizara ya Maliasili imfanyie promo nyoka huyu awe ni miongoni mwa vivutio vya utalii maana ni nyoka mwenye hadithi nyingi na hupatikana sehemu chache tu duniani ikiwepo Tanzania. Kinyume chake hua wanuwawa sana na muda si mrefu ujao wanaweza kutoweka kabisa
Nasikia wanapatikana sana Tabora, mi kwenda Tabora labda nibebwe na greda la Manispaa...anatoka nduki balaa..................
nahisi hata mfupa wake ukukanyaga au magamba yanaweza kukudhuru
Unamzungumzia koboko aliekomaa au kifutu! acha kupotosha koboko hajawai kua fala kiivyouyo mzee alikuwa anapoteza muda....huko kijiji cha Mswaa korogwe izo shughuli zinafanywa na watoto wa shule ya msingi wanacheza nae mpaka wanamkamata na kumuua.