Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

th
huyu ndo kifutu yaani boomslang
DSCN4262.JPG
hawa ni puff adder ndo koboko
kaka unafahamu study za reptiles na amphibians yaani herpetology?unafahamu classification na identification vizuri?tusije bishana kumbe mwenzangu haupo huku kaka.
mkuu unachanganya. puff adder ni vipers na kwa kiswwahili kifutu sababu ya unene. black mamba ni koboko ndiyo mwenye kichwa cha jeneza.
 
mkuu unachanganya. puff adder ni vipers na kwa kiswwahili kifutu sababu ya unene. black mamba ni koboko ndiyo mwenye kichwa cha jeneza.

mmeshinda jamani maana huenda kuna wahasibu na ma engeneer sasa ni ngumu kuelewana.unaposema puff adder ni vipers ni sawa useme "mwanamke ni mwanaume".. ila kwakua hukubali basi endelea kujua unalofaham baba, lakini jifunze bado una mda.. naona daktari anaweza kukupa dozi na bado ukambishia ukataka dozi yako kaka.
 
Koboko anasumu inatoharibu mishipa ya fahamu (neurotoxic). Akikugonga inabidi uwahishwe hospitali katika dakika 5. Baada ya hapo sumu inasimamisha kazi za ubongo , kisha unakosa hewa kwa sababu hutaweza kupumua kwa sababu ya kupararaizi. Koboko ni ishu
neurotoxins ambazo huathiri mishipa ya fahamu na kusababisha kupooza. mtu anakufa respiratory muscles zikipooza kama tu wagonjwa wa polio.
 
mtuma thread kakosea maana picha aliotuma ni black mamba na si koboko maana koboko(puff adder) hana tabia ya kutumia mkia kumove pia characteristic ya mamba huwa wana coffin shaped muzzle.

Wee acha urongo black mamba ndo koboko huyo puff udder no kifutu
 
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
Kuyo alikuwa ni kifutu. Huwa ni wafupi halafu wanene.
 
Koboko ni kiswahili cha cobra kama sikosei.

cobra kiswahili ni swila.watu wabishi na hawajui sasa ukishindana na wahasibu au engeneer ni ngumu kuelewana maana hata identification hawajui.
 
Lakini huyu sio mtata kama black mamba,black mamba ni mkorofi,hata akikuona kwa mbali hata kama huna mpango nae ana tabia ya ku-charge kuja uliko akugonge.

Nilisikia hats Cobra nao wapo hivyo hivyo... Hata kama unapita mbali anakufuata wewe ili akupe kubwa
 
Wee acha urongo black mamba ndo koboko huyo puff udder no kifutu

tatizo hufahamu ila unahisi unajua haya endelea kujua unalojua maana kama bank teller anakua herpetologist ni sawa lakini ni vyema kama hujui ukakaa kimya wengine ndio field zao hizi sio tour guides lakini ni professionals katika study za herpetology so nakushauri ujifunze sio u object jambo usilolijua.In the study of reptiles we know nothing like koboko,swila,kifutu etc but we are dealing with classification from the level of kingdom to species level.Inaelekea huna clue juu ya viumbe hivi ndo maana.Nimejaribu kutuma na picha uone tofauti.mleta uzi ametoa picha ya black mamba moja ya characteristic yake ni kutumia elevation wakati akiwa aggressive tabia ambayo haipo kwa nyoka waliopo katika order ya serpentes na pia ukimuangalia mdomo wake unashape ya jeneza.. itoshe kukuelimisha kua hili ni somo na linahitaji some sio kupata story.
 
neurotoxins ambazo huathiri mishipa ya fahamu na kusababisha kupooza. mtu anakufa respiratory muscles zikipooza kama tu wagonjwa wa polio.

nakumbuka kuna uzi nilizungumzia kuhusu aina ya sumu za nyoka,kulingana na comment za watu zilisababisha uzi huo kuingia kirusi,mwisho likawa janga.
Ngoja nijaribu kuutafuta halafu nitauweka kama comment.
 
tatizo hufahamu ila unahisi unajua haya endelea kujua unalojua maana kama bank teller anakua herpetologist ni sawa lakini ni vyema kama hujui ukakaa kimya wengine ndio field zao hizi sio tour guides lakini ni professionals katika study za herpetology so nakushauri ujifunze sio u object jambo usilolijua.In the study of reptiles we know nothing like koboko,swila,kifutu etc but we are dealing with classification from the level of kingdom to species level.Inaelekea huna clue juu ya viumbe hivi ndo maana.Nimejaribu kutuma na picha uone tofauti.mleta uzi ametoa picha ya black mamba moja ya characteristic yake ni kutumia elevation wakati akiwa aggressive tabia ambayo haipo kwa nyoka waliopo katika order ya serpentes na pia ukimuangalia mdomo wake unashape ya jeneza.. itoshe kukuelimisha kua hili ni somo na linahitaji some sio kupata story.
mkuu unaweza kuwa mtaalamu lakini tatizo hapa siyo utaalamu ni tafsiri. sisi tunasema, black mamba ni koboko na puff adder ni kifutu. tuongezee cobra ni swila.
 
huyu kwetu tunamuita Nhoboko kule geita gold mining maporini wamejaa kweli
 
Nilisikia hats Cobra nao wapo hivyo hivyo... Hata kama unapita mbali anakufuata wewe ili akupe kubwa

Sio kweli, Cobra ni moja kati ya nyoka waoga sana, Ndio maana hurusha mate kujihami, ni nadra sana cobra kugonga.
 
Back
Top Bottom