Green mamba nae ni hatari sana, ila wale ni wadogo kulinganisha na black....
Wadogo kivipi? Wakati wanameza hadi kasuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Green mamba nae ni hatari sana, ila wale ni wadogo kulinganisha na black....
we uji kweli...unatoka povu bila hoja, usibwabwaje..toa facts. naona unapenda kuhororoja tu kishoga
Wadogo kivipi? Wakati wanameza hadi kasuku.
Mh!mmefikia hatua hii,kaeni meza moja kupitia PM myamalize bhana.Mbona unaamua kuweka CV yako hapa mie nimefunzwa hiyo tabia kwangu mwiko acha kunitongoza
Maneno yote uliyoyasema wanawake ndio wanayasema na hao mashoga wenzio
Mh!mmefikia hatua hii,kaeni meza moja kupitia PM myamalize bhana.
cobra kiswahili ni swila.watu wabishi na hawajui sasa ukishindana na wahasibu au engeneer ni ngumu kuelewana maana hata identification hawajui.
Mkuu, bila utani, huyu nyoka hapendi kuishi sehemu walipo watu au wanyama wa kufugwa.
Sasa hiki kijiji chenu kinaonekana vipi? Kama vile nakiona kijiji chetu. Hapo kwetu Koboko Watoto wapo wengi ila Munu bariki hawauwi sana kama kwenu. Akishakuwa mkubwa anaanza kulia usiku "Kuwaiit, kuwaiit.....
"
Nasikia nyama yake tangy sana...
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
The black mamba, the most deadly snake in the world
Mhhh mbona namuona kama wa kawaida tu?
Akija napigana nae tu
Bomouwa hapa tunajadili tafsiri za majina ya Nyoka toka kwenye kiingereza kuja kwenye Kiswahili. Sioni hii hoja ya ubishi wa wahasibu na maengineer inaingiaje hapa. Wewe kama una hoja na ushahidi wa kutosha kuhusu ubishi wa wahasibu na maengineer anzisha thread yake tuchangie hoja zako.cobra kiswahili ni swila.watu wabishi na hawajui sasa ukishindana na wahasibu au engeneer ni ngumu kuelewana maana hata identification hawajui.
kilo tatu...duuuuuhMwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
Vipo vingi tu vinapenda sana tumilio twa simu vimijusi tundege, kukuuma lazima uwe wenye "very close range"
Kana uwezo wa "ku-jump and vault" a bit like flying in the air
Hivi vimamba vinapenda sana kukaa kwenye miti ya mikwaju ya kizungu.
Taya za chini za nyoka zimegawanyika sehemu mbili, yaani kipande cha kushoto na cha kulia, hii inamfanya nyoka aweze kumeza kitu kikubwa zaidi ya ukubwa wa kichwa chake.
Nyoka anauwezo wa kugundua ongezeko dogo sana la joto la binadamu chini ya 0.01 kipimo cha sentigredi ndani ya mita kama kumi hivi.
hapa ndiiyo shida ilipo. hatuwezi kuingizwa chaka kisa anayetuingiza ni professional.Maelezo ya jamaa hata km sio sahh lkn ni professional...ww unaongea kishabiki, kibabe, bila hoja zaidi ya kashfa....curse u
kuwa makini mkuu.Kwa Jinsi Mlivyoniogopesha Sasa Naandika Huku Miguu Yangu Nimeipandisha Mezani Na Nilikuwa Nina Mpango Wa Kwenda Kuoga Lakini Nimeusitisha Kidoooooooooooooogo Hadi Nijipange Upya Tena.
Likija swala la nyoka nakuwa mpole sana
kuwa makini mkuu.
![]()