Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 274
Wiki jana majira ya usiku nilikutana naye alikuwa anakatisha barabara ,urefu wake ulikuwa km ft 6 hivi,nilijaribu kumkanyaga lakini alikuwa mwerevu sana na spidi ya ajabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki jana majira ya usiku nilikutana naye alikuwa anakatisha barabara ,urefu wake ulikuwa km ft 6 hivi,nilijaribu kumkanyaga lakini alikuwa mwerevu sana na spidi ya ajabu
Mwaka 2013 mwezi 12 tarehe sikumbuki ila usiku wa saa nane nikiwa kazini shift ya usiku.nilikuwa Nina fuatilia likeji ya maji Kwenye matanki makubwa kabisa ndipo nilikutana na hiyo kizaazaa cha Mwaka.nilifanikiwa kumua.ila shughuli ili kuwa pevu.na alikuwa Ana urefu mita 1 na nusu.uzito kilo Tatum.
Hmm!yamekua hayo!Thubutu.
Afu kuna sehemu niliona aina fulani ya nyoka yaani wamefanana kopiraiti na uume.
Wanaitwaje na wanapatikana wapi?
Yaani ukimuona ni kama umeuona uume tu
Huyo jamaa ni balaa....tena si balaa dogo....ni bora ukutane chui kuliko huyu jamaa...
Mi mwenyewe nasemaga hvyo hvyo bora nikutane na simba kuliko nyoka maana ntakufa mda huo huo kwa pressure!
Kwa kawaida koboko anapogonga mnyama au binadamu meno yake hayatoki km walivyo nyoka wengine,koboko anauwezo wa kugonga ng'ombe hamsini(50)kwa wakati mmoja bila kuangusha hata jino moja,inaamika hapo ndipo hupungua nguvu,lakini ni nyoka mwenye kasi sana.moja ya tabia zao ni kutokupenda makelele,hupenda sehemu tulivu mno.kwa Tanzania unaweza kuwapata kwa wingi kwenye pori la mpanda -sikonge,Rungwa-mgandu-chunya.sehemu nyingi anazoishi ni za jua kali na zenye kupatikana sana mbao ngumu nyekundu km mninga,mtondoo
Mbona unaamua kuweka CV yako hapa mie nimefunzwa hiyo tabia kwangu mwiko acha kunitongoza
Maneno yote uliyoyasema wanawake ndio wanayasema na hao mashoga wenzio
Likija swala la nyoka nakuwa mpole sana
nilkuwa najua naongea na mvuta bangi kumbe sista duu! kwahyo huwa unatongozwa bila kuambiwa "i love u? we n kahaba uliyekomaa...unaangalia hela tuu!!!
Hapana mkuu, kwa size Green ni mdogo kulinganisha na Black...nawajua vizuri sana hawa nyoka, nimeishi na kufanya kazi kwny hifadhi za taifa kwa mda mrefu...
Kitu kimoja fahamu, si kila nyoka wa kijani ni mamba, wapo wengi wengine ni wakubwa sana kulinganisha na Green Mamba,
hapo umesema kweli,hata kuna nyoka wa kijani wapo wengi
Hasante!!we kweli kamanda. hongera
Amin Mkuu sikudanganyi.Mmmhhhhhhh 1.5m kilo 3????? Huyo si atakuwa na Size ya Bi-ceps ya mtu mzima? Mbona alikuwa menene sana?