Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Sijawahi kuacha kumuogopa huyo kiumbe aisee [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaaa unaogopaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuacha kumuogopa huyo kiumbe aisee [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaaa unaogopaa
Nikweli mkuu hivi viumbe vinafanana huyu wa kwenye suruali pia ni mkali mpaka tunamfugia kwenye zipu.Ha! ha! duh watu waongo duniani.
Huyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.Hivi koboko ndio anaitwa kifutu kwa jina lingine?
Hapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of deathHuyu ni black mamba kwa jina lingine ni mweusi wa kung'aa na jina hili la black ni kwa sababu ndani ya mdomo wake ni mweusi sana na cha ajabu akipanua mdomo utafikiri jeneza.
Kifutu kwa lugha ya kiswahilipuff adder
hahahahahahahKuna koboko mmoja alikuta roli la madawa limeanguka vidonge vikawa vimesambaa kila mahali kwa njaa zake koboko yule akala Viagra basi alisimama mwezi mzima.
OkKifutu kwa lugha ya kiswahili
Puff adder ni kifutu ambae ni mfupi na wanauwa sana kuliko hata kobokoHapana mkuu umechanganya kidogo, huyu koboko ni puff adder kama sijakosea huwa ni mfupi na mnene. Black mamba ni mrefu na mwembamba ndie huwa anaitwa kiss of death
OkPuff adder ni kifutu ambae ni mfupi na wanauwa sana kuliko hata koboko
Koboko ndio huyu wanaogopa hata kumtaja jina na ndio huyu black mambas
Huyu hapa anaezungumziwa
Hebu msome kidogo View attachment 766058
Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chuiKuna sehemu nipo huku mkoani tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana tabora ,shinyanga,singida na kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayali kumuongelea kiundani wala kumtajaa kwa sababu ukiwa ndani ya mkoa wa tabora au shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chuiii
Hivi koboko kwanini watu hawamtajitaji hovyo ni kwa namna alivyo na sumu kali, na kwa hapa Tanzania wapo maeneo gani hasaPuff adder ni kifutu ambae ni mfupi na wanauwa sana kuliko hata koboko
Koboko ndio huyu wanaogopa hata kumtaja jina na ndio huyu black mambas
Huyu hapa anaezungumziwa
Hebu msome kidogo View attachment 766058