Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hapa ni Vertebra ya Tianaboa ikilinganishwa na Anaconda mkubwa.
vertebra-b.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
Mzee wa Jangwani kaniacha hoi
Mkuu mimi huwa nasomaga visa vya Ngamia halafu huwa nabakia kucheka tu..Ngamia ana visasi sana yaani hata ukiwa umejipulizia Perfume nzuri anakutemea mate.
 
Kuna kisa kimoja cha Koboko alitaka kuAmbush gar lai wawindaji wenye silaha wakamtwanga risasi akakimbilia juu ya mti pamoja na kuwa karibu na kukatika na (Spinal Cord kukatika) alikaa kuanzia jioni mpaka asubuhi yake ndio akafa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni hatari sana huyu nyoka nakumbuka 2009 nilienda tabora huko maporini kuna jamaa wakapita na mkokoteni na vitendea kazi tulikokuwa tumekaa, wakienda kufyeka shamba ilikuwa kwenye saa 1.00 hivi asubuhi wakatusabahi vyema tu..

Kufika saa 1.45 jamaa akawa anarudi mmoja anasukuma ule mkokoteni mwingine akiwa tayari maiti ndani ya mkokoteni... ilikuwa kazi ya koboko niliomba kuondoka na kurudi mjini kesho yake.. inatisha sana
 
Hizo ni figure of speech tu !una asilimia 99 ya kushinda vita dhidi ya nyoka wakati una less than 10% au no chance at all kushinda vita dhidi ya simba na chui
Wamasai wanaua simba mchan kweupee easy tu
 
Ni hatari sana huyu nyoka nakumbuka 2009 nilienda tabora huko maporini kuna jamaa wakapita na mkokoteni na vitendea kazi tulikokuwa tumekaa, wakienda kufyeka shamba ilikuwa kwenye saa 1.00 hivi asubuhi wakatusabahi vyema tu..

Kufika saa 1.45 jamaa akawa anarudi mmoja anasukuma ule mkokoteni mwingine akiwa tayari maiti ndani ya mkokoteni... ilikuwa kazi ya koboko niliomba kuondoka na kurudi mjini kesho yake.. inatisha sana
[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom