Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrembo wa misri? Ilikuwajee?Sumu ya Swila ndiyo iliyomuua Cleopatra.
Bila shaka hii ilikuwa last moment kwa uyo nyokaUongo mbaya Swila naye ni mbishi.
View attachment 766294
Mimi nipo eneo la mkoa wa Tabora. Nashindwa kumwongelea huyu nyoka.Kuna sehemu nipo huku mkoani tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana tabora ,shinyanga,singida na kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayali kumuongelea kiundani wala kumtajaa kwa sababu ukiwa ndani ya mkoa wa tabora au shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chuiii
Naona hapo wakubwa waliwaachia madogo wale tizi.in Nguchiro style.Bila shaka hii ilikuwa last moment kwa uyo nyoka
Alijiuwa kwa kungatwa Swila kwa sababu Misri ya kale kulikuwa hakuna Koboko.Mrembo wa misri? Ilikuwajee?
Kwanini?Mimi nipo eneo la mkoa wa Tabora. Nashindwa kumwongelea huyu nyoka.
Alijiua? Sijaelewa?Alijiuwa kwa kungatwa Swila kwa sababu Misri ya kale kulikuwa hakuna Koboko.
AlijiuwaAlijiua? Sijaelewa?
KwaniniAlijiuwa
Mmmh...she allowed cobra to bite her?The death of Cleopatra VII, the last reigning ruler of Ptolemaic Egypt, occurred on either 10 or 12 August 30 BC in Alexandria, when she was 39 years old. According to a popular belief, Cleopatra committed suicide by allowing an asp (Egyptian cobra) to bite her.
Kaa kimya kabisa asije akakudamkia asubuhi sana.Mimi nipo eneo la mkoa wa Tabora. Nashindwa kumwongelea huyu nyoka.
Mambo ya familia.What's the reason behind?
OkMambo ya familia.
Mkuu unaweza kutafuta muda ukamsoma huyu farao wa kike.
Sawa..ntamsaka nijueMkuu unaweza kutafuta muda ukamsoma huyu farao wa kike.
Yeah, wewe unamjua, watu wanachanganya na black mamba sijui kobra, tofauti kabisa, huyu jamaa kwanza hana rangi nyeusi, ni mweupe fulani hivi, ana singa kichwani na akitoa mlio unaweza fikiri ni jogoo, anasafiri kama helcopta, ana shabaha, ana lenga kichwani tu, akikugonga dakika tano nyingi tuna zika, tumewaua wengi kijijini, mkigundua sehemu kuna koboko, tulikuwa tunajitwisha uji wa moto kwenye sufuria, akikuona lazima akurukie kichwani, anajizamishwa kwenye uji wa moto anakufa.Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.
Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.
Yuko na mwanasayansi mmoja mmarekani mwenye asili ya ujerumani alikuwa anamchezea Boomslang mdogo akang'atwa alipoulizwa kama asaidiwe matibabu akasema nyoka huyo ni mdogo kwa hiyo hana madhara...alikufa usiku wake.Sawa..ntamsaka nijue