Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

africal.jpg
 
Kuna mti kama mkwaju anapenda sana kupumzika kwenye huo mti, na sasa msimu wa mantonga tayari, wawe makini sana
Hapo nakubaliana kbs na ww, mikwaju ni miti hatari sana kwa huyu kiumbe.
Niliwahi kuishi kijiji flani hv kulikuwa na mti Mkubwa wa ukwaju basi kila mchana tukawa tunasikia kaka kuku anawika tokea pande hizo
 
Hapa nimeelewa sasa kumbe koboko ndo black mamba...

Aloo picha tu inatisha sijui kukutana naye inakuwaje
Nishakutana nao kama mara 2 serengeti anapitabzake, unasimama akishapita mnaendelea na safari
 
Nyoka yoyote akijikoboa hutoa harufu ya mpunga tena ule bado haujakomaa ghalani ukiwa unapikwa
Anhaaa , tushakutana sana na hizo harufu enzi za kusenya kuni porini.
Loh, na mie nshakuwa muhenga kumbe hahahah
 
Mimi hizi dawa za nyoka, mjomba wangu, anazo, ila mimi sijahi hitaji kwa kujivunia tu tunaishi mijini.
Kuna ile iliyokaa kama mkaa, ukitaka kujua kama ni real unaiweka kwenye ulimi, inaganda kama sumaku, mpaka uigandue
 
Hahaha..Bundi pia hutumia nguvu fulani za giza,nilikuwa naangalia Video ya mambo ya wild nikamuona bundi mkubwa kasimama chini kabisa halafu mbweha anazunguka kumtafuta hata hamuoni.
Mmmmhhhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sumu ya Koboko akidungwa Shark anatengeneza antidote ambayo ni nzuri sana.sio rahisi kupata allergy.
 
Nat Geo wild wanamzungumzia Black mamba(koboko) Kama nyoka hatari sana.

Akikung'ata ni ndani ya 20 minutes hauna chako.

Inamaana akikujeruhi hakikisha ndani ya dakika 10+ umepata huduma, na usifanye jambo la kupelekea damu yako kusambaa kwa kasi mwilini(kukimbia maana utaongeza metabolism yako)
 
Back
Top Bottom