kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,818
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]White kenge
Nenda snake park Arusha wapo nyoka wa kila aina hadi ambao hawapatikani Tanzania lakini ukirudi home jiandae kulala jicho moja wazi huku taa imewakaShukrani kwa nondo ,hivi hakuna sehemu kama zoo hivi kwa Tz wamehifadhiwa nikapige nao kaselfie kidogo ?
View attachment 1484031
Na wataalamu wanashauri kuwa endapo nyoka huyu atakuwa amejificha katika upenyo wa gari basi ni vyema dereva kukimbiza gari hilo kwa mwendo kasi usiopungua 80 na kuendelea kwa ndani ya dakika 10 hadi 15 ili kusaidia kummaliza nyoka huyo kutokana na joto kali au kumchosha nyoka huyo na kumpunguzia makali ya sumu yake ya kudhuru watu.
Watakufa wote.Unashauriwa kukimbiza gari mpaka kituo cha Polisi kilicho karibu nawe.
Huyo nyoka ni mshenzi sana, ana reasoning ya hali ya juu. Ila kiboko yake ni Bundi na Kipanga au Mwewe.Watakufa wote.
Wachina na uchu wao wote hawamsogelei kiboko.Na Sifa zake zote hizo ulizotaja lakini ndio chakula pendwa kwa Wachina, Wanamla vizuri na kumfurahia.
Hicho chungu chenye uji
Nnajitwisha alafu naenda kumtafuta?[emoji849][emoji849]
Ukamtafute hujipendi?Hicho chungu chenye uji
Nnajitwisha alafu naenda kumtafuta?[emoji849][emoji849]
Wanaokaa kwenye miti kumendea utosi si ni green mamba hao.Ukamtafute hujipendei?
Hii wanaitumia hasa kinamama wanapoenda kuokota kuni msituni au wazee kutafuta dawa asili msituni,huyu bwana hupenda zaidi kukaa juu ya miti so ukipita alipojitega hakuachi anaondoka na utosi.