Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,263
- 1,304
😅😅 unajitwisha af unapita zako tuu..Hicho chungu chenye uji. nnajitwisha alafu naenda kumtafuta?[emoji849][emoji849]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅 unajitwisha af unapita zako tuu..Hicho chungu chenye uji. nnajitwisha alafu naenda kumtafuta?[emoji849][emoji849]
Dah...kisayansi mnyama huyu ana kemikali nyingi ya nikotini kwenye misuli ya neva yake inayoangamiza sumu ya koboko ikiingia .....hii inaweza kuwa habari njema kwa wavuta sigara [emoji41]Nyegere (Honey burger).
Mkuu au Mimi nnakichwa kigumu?[emoji28][emoji28] unajitwisha af unapita zako tuu..
😅😅Yani mkuu Wang ukipita na chungu chako akitaka kukung'ata kichwa anaingia huko anakutana na uji wa moto akitoka kaiva na rangi imekuwa nyeupe sio black kama hapo unavyoonaMkuu au Mimi nnakichwa kigumu?
Na Sifa zake zote hizo ulizotaja lakini ndio chakula pendwa kwa Wachina, Wanamla vizuri na kumfurahia.
[/QUOTENa pia ni chakula pendwa cha nyegele 😁😁
Wanaitwa black mambas wote wawe weusi au kijaniWanaokaa kwenye miti kumendea utosi si ni green mamba hao.
Hata mimi naona kuna walakini ktk kutaja huo urefu maana futi 16 ni karibia mita 5!Futi 16..!!
Boss hebu tupe minofu hapo kwenye Jacob's organ, ni nini hiyo?Nyoka huwa anafuata harufu kwa kukusanya chembechembe za harufu zilizopo kwenye hewa kwa kutumia ulimi akishautoa ulimi nje akiurudisha ndani unagusa kwenye Jacob's organ hapo ndipo anaifuata harufu na sio kwamba anakufuata binadamu eti akutie meno acheni kudanganyana,nyoka anatafuta mawindo kwa njia ya harufu.Halafu kingine unachodanganya huyo nyoka ana speed kuliko wewe angekuwa umefukuzwa mara nyingi hivyo kama unavyodai naamini siku moja ungekuwa umekula jino hata la kalio
Kama mlikuwa hamjui pia ni kwamba huyu jamaa ni mtafunaji mzuri sana wa bangi na ndio maana akili yake wakati mwingine sio nzima, akikuona tu yeye anawaza ambush... yaani akuvamie akugonge tena sio mara moja yaani kama ni ngumi tunasema anakupiga mikito hata kumi kwa mkupuo.
Nyeng'ere huyo mkuuKuna kamnyama hivi kwenye ile movie ya The gods must be crazy kalikua kanamkimbiza yule mzungu kwenye desert. Kale ndo kiboko ya hawa.
Kanakula nyoka kama hakana akili nzuri hadi kanajilamba.
Wanaitwa black mambas wote wawe weusi au kijani
Na ndege anaitwa secretary,anatafuna kila nyoka atakayekatiza mbele yakeHuyo nyoka ni mshenzi sana, ana reasoning ya hali ya juu. Ila kiboko yake ni Bundi na Kipanga au Mwewe.
Safi kijana kwa kupenda kutaka kujua ni hivi ukilitizama joka vizuri kwenye mdomo wa juu utaona vitundu viwili cha kushoto na kulia sasa usawa wa vile vitundu kwa nyuma kidogo kuna kiungo kinaitwa Jacob's organ au vomeronasal organ.Joka unapoliona linatoa ulimi likiurudisha ndani linakigusisha kwenye Jacob's organ.Joka linapotoa ulimi nje ulimi wake unachota chembechembe za harufu zilizopo kwenye hewa lakini harufu hiyo hutafsiriwa kwenye Jacob's organ anapotoa ulimi nje bila bila kuugusisha kwenye ile organ hawezi sikia harufu ila akiurudisha tu ndani unagusa jacob's organ na hapo ndipo anadetect harufu na kuanza kumfuata.Ndio maana hata kwenye channel kama National Geographic utaona Nyoka anapanda mti anaenda kuvigonga vitoto vya ndege kwenye Chota harufu ndio inampeleka Kule au unaweza ona camera zinamuonesha panya kwenye shimo mara unaona nyoka anaingia mle shimoni na kungonga panya na kumla sio kwamba anabahatisha ni harufu ya yule panya inamuongoza.Hata binadamu mifumo yake ya fahamu inawasiliana na ubongo,huwezi kunusa,kuona,kuonja ladha ya kitu,kugusa au kusikia bila ubongo kuhusishwa.Boss hebu tupe minofu hapo kwenye Jacob's organ, ni nini hiyo?
Ahaa.Kashawang'ata wengi wanapoteza maisha japo kuna wengine waliwahi hospitali na kupatiwa anti venom kwa bahati nzuri weapons ili kuja kunena kuhusu joka hilowilson kaiser senior,
Ata hapo magogoni karibu na soko la ferry Kuna koboko, yaani usiombe uingie kwenye 18 zake
Secretary bird kana miguu mirefu hivi yule ni kiboko ya nyoka.Watemi wengine wa nyoka ni honey badger na mangooseNa ndege anaitwa secretary,anatafuna kila nyoka atakayekatiza mbele yake
Hili lauji nimara kadha nalisikia,iko hivi,wahanga wakubwa kwa huyu mdudu ni hao waliotajwa hapo juu, pamoja na wafugaji, sasa huyu mdudu hupendelea kukaa kwa miti, ikipatikana tetesi kuwa yupo mahali fulani huyu mdudu, watu wanafuatiloa kuthibitisha kuwa yupo sehemu gani, bada ya hapo wakisha thibitisha yupo kina chukuliwa chungu alafu unachemshwa uji hadi uwe umeiva, alafu anajitolea mtu mmoja kupita na kile chungu chenye uji chini ya lile tawi la mti, kifuatacho hapo ni balaa zito.kwaiyo huo uji haupoi au wanabeba kichwani kuni zinawaka huku uji ukichemka mda wote hapo???!!!
Sawa... kawahiyo hiyo kitu ndiyo ubongo wake au ana ubongo pia ila hiyo ni maalum kwajili hayo mambo tu?Safi kijana kwa kupenda kutaka kujua ni hivi ukilitizama joka vizuri kwenye mdomo wa juu utaona vitundu viwili cha kushoto na kulia sasa usawa wa vile vitundu kwa nyuma kidogo kuna kiungo kinaitwa Jacob's organ au vomeronasal organ.Joka unapoliona linatoa ulimi likiurudisha ndani linakigusisha kwenye Jacob's organ.Joka linapotoa ulimi nje ulimi wake unachota chembechembe za harufu zilizopo kwenye hewa lakini harufu hiyo hutafsiriwa kwenye Jacob's organ anapotoa ulimi nje bila bila kuugusisha kwenye ile organ hawezi sikia harufu ila akiurudisha tu ndani unagusa jacob's organ na hapo ndipo anadetect harufu na kuanza kumfuata.Ndio maana hata kwenye channel kama National Geographic utaona Nyoka anapanda mti anaenda kuvigonga vitoto vya ndege kwenye Chota harufu ndio inampeleka Kule au unaweza ona camera zinamuonesha panya kwenye shimo mara unaona nyoka anaingia mle shimoni na kungonga panya na kumla sio kwamba anabahatisha ni harufu ya yule panya inamuongoza.Hata binadamu mifumo yake ya fahamu inawasiliana na ubongo,huwezi kunusa,kuona,kuonja ladha ya kitu,kugusa au kusikia bila ubongo kuhusishwa.
Kuna kamnyama hivi kwenye ile movie ya The gods must be crazy kalikua kanamkimbiza yule mzungu kwenye desert. Kale ndo kiboko ya hawa.
Kanakula nyoka kama hakana akili nzuri hadi kanajilamba.