Kocha Abdel Amrouache arudishwe haraka. Hawa hawatufikishi popote

Kocha Abdel Amrouache arudishwe haraka. Hawa hawatufikishi popote

Anonymous Caller

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
679
Reaction score
870
Habari ndugu zangu,

Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia)

Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga.

Tukadroo 1-1 mchezo muhimu wa kwanza na Lesotho tukiwa nyumbani. Tukafukuza kocha...tukamleta kocha mpya mnigeria Amunike.

Amunike akatuongoza tukaenda kupata sare kwny uwanja mgumu pale Nambole Uganda..(0-0)

Shortly ni Amunike ndiye aliyetupeleka Afcon Misiri toka 1980..na wala sio hamasa za akina Steve Nyerere.

AFCON ya 2023 Tumevushwa na kocha mwny misimamo mu Algeria Abdel Amrouache. Kwa trend ninayoiona hatutafika popote na hawa makocha wa kiswahili..hawa walishashindwa toka zamani..

Ndio maana hata vilabu vyetu pendwa haviwapi nafasi..sio kwamba vinawaonea hapana..hawana uwezo.

Ilikuwa sahihi Yanga ya 1998 kufundishwa na Tito mwaluvanda kwab ya status ya Yanga kwa wakati ule....lakini Yanga ya Leo haiwezi kuweka Minziro kum-replace Gamondi...huu ni mfano.

Mzawa atakaye kuja kuwa kocha sahihi kwa Tanzania ni Mbwana Ally Samatta tu...endapo ataamua kuingia kwny career ya ukochi.

Tusiige eti kwasab senegal, imeteua kocha mzawa na inafanya vizuri basi na sisi tufuate mkondo huo.

Kigezo cha uzawa kwny uteuzi wa kocha kinaweza kikafanya vizuri kwny mataifa ya Afrika magharibi kuliko kwetu kwasab makocha wazawa wa huko hawafanani na makocha wazawa wa hapa kwetu.

Kwa mfano Rigobert song anaitwa kocha mzawa kwao Cameron....Lakini ni song huyuhuyu amecheza michezo 377 kwny clubs mbalimbali Ulaya kama Lens, West ham, Liverpool, FC Cologne, na akastaafia Trabzospor ya uturuki, Je anaweza kuwa level moja na kocha Zubeir Katwila? Simply wote ni wazawa ktk zao.
 
Habari ndugu zangu,

Kundi letu lipo wazi mno.. ( Tanzania, DRC, Guinea na Ethiopia)

Ngoja niwakumbushe jambo, kuelekea Afcon ya 2019, Tulianza na kocha mzawa Salum Mayanga.

Tukadroo 1-1 mchezo muhimu wa kwanza na Lesotho tukiwa nyumbani.
Tukafukuza kocha...tukamleta kocha mpya mnigeria Amunike.

Amunike akatuongoza tukaenda kupata sare kwny uwanja mgumu pale Nambole Uganda..(0-0)

Shortly ni Amunike ndiye aliyetupeleka Afcon Misiri toka 1980..na wala sio hamasa za akina Steve Nyerere.

Afcon ya 2023 Tumevushwa na kocha mwny misimamo mu Algeria Abdel Amrouache...

Kwa trend ninayoiona hatutafika popote na hawa makocha wa kiswahili..hawa walishashindwa toka zamani..

Ndio maana hata vilabu vyetu pendwa haviwapi nafasi..sio kwamba vinawaonea hapana..hawana uwezo.

Ilikuwa sahihi Yanga ya 1998 kufundishwa na Tito mwaluvanda kwab ya status ya Yanga kwa wakati ule....lakini Yanga ya Leo haiwezi kuweka Minziro kum-replace Gamondi...huu ni mfano.

Mzawa atakaye kuja kuwa kocha sahihi kwa Tanzania ni Mbwana Ally Samatta tu...endapo ataamua kuingia kwny career ya ukochi.

Tusiige eti kwasab senegal, imeteua kocha mzawa na inafanya vizuri basi na sisi tufuate mkondo huo.

Kigezo cha uzawa kwny uteuzi wa kocha kinaweza kikafanya vizuri kwny mataifa ya Afrika magharibi kuliko kwetu kwasab makocha wazawa wa huko hawafanani na makocha wazawa wa hapa kwetu......

kwa mfano Rigobert song anaitwa kocha mzawa kwao Cameron....Lakini ni song huyuhuyu amecheza michezo 377 kwny clubs mbalimbali Ulaya kama Lens, West ham, Liverpool, fc cologne, na akastaafia Trabzospor ya uturuki, Je anaweza kuwa level moja na kocha Zubeir Katwila? Simply wote ni wazawa ktk zao.
Sisi huwa tuna wimbo wetu pendwa wa uzalendo na uzawa.
Hatuna dira wala vision....
 
Wamlete Morinyo
Hivi ni kigezo kipi kimetumiika Mgunda akawa subordinate kwa moroko?

Au ni kuwaridhisha wanzanzibari..

Hivi kati yao, nani anauzika haraka kuliko mwingine kwny soka letu....Yaani ikitokea wote ni jobless.Je ni yupi atawahi kupata timu mapema.
 
Nikiwaangalia Morocco na Mgunda pale benchini moyo unavunjika.... Unaona kabisa hapa hatuendi popote... Tuacheni unafki hamna kocha pale.
 
Back
Top Bottom