Kocha aliniita Mimi ni Sokwe napaswa kurudi misitu ya Afrika nikaungane na wenzangu

Jinga sana. Angemwambia kwa kawaida sokwe anakuwa mgumu kufundishwa na nguruwe pori wa Ulaya....Shughuli ingeisha kwa amani na upendo kabisa
Wangemuundia zengwe huyo
 
Na yeye angemtukana vilevile...

Jino kwa jino!
 
Huwa mnanishangaza sana kuumizwa na tusi jepesi kama hili!
Mbona huku ni kawaida sana mama kumtusi mwanae tusi kama mbwa wewe..ngedere...Kuku wewe! Sasa ni nini huwa kinawauma mkiitwa nyani ama sokwe na wakati ninyi sio sokwe?
Wanasema eti ukitukanwa na mama mzazi unachukulia poa ila ukitukanwa na mama wa kambo unateswa
 
Lamine Moro angempiga lile teke la mgongo ....maarufu kama La attack
 
Unafikiri huyo anayekuita sokwe hajui kwamba wewe sio sokwe?

Point hapo ni kwamba amekushusha mpaka kwenye viwango vya sokwe kwa sababu ya rangi yako.

Ukiitwa sokwe na mtu mweupe lazima ushtuke na kufadhaika aisee! Sio kitu kidogo hicho!
Umenena vyema kabisa, mijitu humu yanajifariji tu ati kwa sababu ya kutafuta ugali. Hakuna sababu yoyote ya kukubali kudhalilishwa na mzungu ati kwa sababu unatafuta pesa. Should fight back!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…