Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee...Halafu ni kawaida hata hapa jf kuona mtu anaitwa nyumbu kisa tu,hawazi kama wanavyotaka wamtukanao.
HaahaaaJinga sana. Angemwambia kwa kawaida sokwe anakuwa mgumu kufundishwa na nguruwe pori wa Ulaya....Shughuli ingeisha kwa amani na upendo kabisa
Sure mfano kuwaita mabeberuWatu weupe wanajifunzia ubaguzi kwa watu weusi.
Na yeye angemtukana vilevile...Mshambuliaji wa FC DALLAS fafa picault (29) anasema moja ya matukio ambayo hawezi kusahau katika maisha YAKE ya soka Ni pale AMBAPO KOCHA wa Timu ya Vijana ya CAGLIARI Alipomuita yeye Ni Sokwe hafundishiki anapaswa kurudi MISITU YA AFRIKA
FAFA akiwa chini ya miaka 17 Alijiunga na timu ya Vijana ya CAGLIARI AKITOKEA NCHINI MAREKANI
Akiwa hapo alikutwa na balaa zito la UBAGUZI wa RANGI kutoka kwa KOCHA wake Alipomuita yeye Ni Sokwe asiyefundishika
FAFA anasema hii Hali ilimuuma zaidi mpaka leo akikumbuka tukio Hilo
Black live matters [emoji123][emoji123][emoji123]
Wanasema eti ukitukanwa na mama mzazi unachukulia poa ila ukitukanwa na mama wa kambo unateswaHuwa mnanishangaza sana kuumizwa na tusi jepesi kama hili!
Mbona huku ni kawaida sana mama kumtusi mwanae tusi kama mbwa wewe..ngedere...Kuku wewe! Sasa ni nini huwa kinawauma mkiitwa nyani ama sokwe na wakati ninyi sio sokwe?
Hata ningekuwa mimi ningefanya hiviNa yeye angemtukana vilevile...
Jino kwa jino!
We are very bora than wao.Ina maana Afrika ni msitu uliojaa sokwe tu? Wazungu na maajabu ya kujiona wao ndio tu binadamu.
Umenena vyema kabisa, mijitu humu yanajifariji tu ati kwa sababu ya kutafuta ugali. Hakuna sababu yoyote ya kukubali kudhalilishwa na mzungu ati kwa sababu unatafuta pesa. Should fight back!Unafikiri huyo anayekuita sokwe hajui kwamba wewe sio sokwe?
Point hapo ni kwamba amekushusha mpaka kwenye viwango vya sokwe kwa sababu ya rangi yako.
Ukiitwa sokwe na mtu mweupe lazima ushtuke na kufadhaika aisee! Sio kitu kidogo hicho!
The way mnavyotetea vitu vya wazungu things like religions it dumps African dignity and humanityIna maana Afrika ni msitu uliojaa sokwe tu? Wazungu na maajabu ya kujiona wao ndio tu binadamu.