Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
kwahiyo kasingiziwa ?
kumbe hakuteua yeye eeee !!! sasa mbona mnamlisha maneno ?HATA KAMA TUSINGEKUWA NA KOCHA WA NATIONAL TM, BADO NATIONAL TEAM INGEKUWEPO
Sent using Jamii Forums mobile app
duh wakuu mbn hvyo? mshaanza weka pressure mapema hvyo
Wangechanganya na Serengeti boys angalau tungekuwa na matumaini kidogoWabongo bwana Sasa ww ulitakaje Timu isiitwe au
nchi gani iliwahi kufanya hivyo ?Hivi yeye hawezi kumuita Captain akamsaidia kazi ya kuteua? Wakati mwingine muwe na akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo we ulitaka nani aite timu?nchi gani iliwahi kufanya hivyo ?
bwana Shaban Iddi Chilunda alicheza timu ya wakubwa mkuu???Ila bwana mdogo yule yuko nondo sanaHuyo Farid Musa toka aende huko Spain sidhani kuna ambaye amewahi hata kuona highlights zake,mwenzie Chilunda kaenda majuzi tu lakini jana kacheza timu ya wakubwa.
Cha ajabu kwenye kikosi cha taifa kutwa yumo.
Mtamponza Amunike , kwanini msiseme timu imechaguliwa na Hemed MorrokoTumeshaambiwa moja ya wasaidizi wa Amunike ni Hemedi Morocco, hivi huyu hawajui wachezaji?
Morocco atakuwa amechagua wachezaji, uzuri siku hizi mechi zinaoneshwa kwa hiyo anaweza kujiridhisha kwa kurejea mikanda ya nyuma. Lakini pia pale TFF kuna makocha wengi wanaweza kusaidia kipindi hiki cha mpito. Hata rais anapoteu wakuu wa wilaya, wakurugenzi kikanuni ni Rais ameteua lakini si wateule wote yeye anakua anawafahamu wengine analetewa tu majina na wasaidizi wake lkn mwisho wa siku hatusemi wasaidizi wa Rais wameteua mawaziri/wakurugenzi n.k
nataka kujua ukweli wa aliyeteua timu hii
Mtamponza Amunike , kwanini msiseme timu imechaguliwa na Hemed Morroko
Mkuu hiyo haiwezekani, kocha mkuu kikanuni ndio anateua timu japo kuna wakati yeye anaweza hasiteue kutokana na sababu mbali mbaliMtamponza Amunike , kwanini msiseme timu imechaguliwa na Hemed Morroko
Ben Kakolanya amemuona lini akichezaq wakati yanga wenywe wanamweka benchiHao wachezaji kawajuaje uwezo wao??? 🤔 🤔 🤔 Hakuna timu hapo na kila siku tutaendelea kubeba watu walewale walioshindwa kupanda mlima siku zote.
kiukweli hajateua yeye kama angeteua kuna wachezaji wasingekuwemo kama Ben Kakolanya maana Yanga wenyewe wanampiga benchiNitasema kweli daima fitna kwangu mwiko .
Taarifa za vyombo vya habari zinaeleza kwamba Kocha mpya wa Taifa Stars ameteua wachezaji watakaovaana na Uganda Cranes kwa michuano ya AFCON , sasa mimi ninataka kujua kama kweli aliyeteua kikosi hiki ni Amunike amewajuaje wachezaji wazuri bila hata kuwaona uwanjani ? nauliza hili ili matokeo mabaya yakitokea tujue wa kumpa lawama.
Msimchagulie timu halafu mkasema kachagua yeye , mwisho wa siku akatwishwa lawama kwa mtindo wa kuangushiwa jumba bovu , maana hata kwa akili ya vikatuni si rahisi kwa muda mfupi namna hii Amunike aweze kuwajua wachezaji , vinginevyo tutajieni mtu halisi aliyeteua timu hii .
Moderator uoga wako wa kuunga hata hii ni nini ? hutaki nyuzi za kufikirisha ?Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko .